Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,244
22,320
Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu.

Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii hujiandaa sana kufanya sanaa ya maigizo jukwaani badala ya muziki? Komredi Mbosso ameonekana kinara wa huu mwenendo mpya wa matamasha ya muziki. Nyie mna maoni gani?
 
Mimi kinachonitia kichefuchefu kwenye matamasha ya wasafi na mengine ni kuhsindwa kuimb alive band.
Kuimba umezima mic ni uhuni na wizi wa fedha kwa waenzi wao.

Nini kinawafanya washindwe kufanya show ya kikubwa kama fally ipupa?
Kuimba kwa kufatilizia CD ni upuuzi wa last century. Inakera na inaboa pia.

Wajifunze kwa
BURNA BOY
THE WEEKND
ADELE

HAWA WANAFANYA WORLD STADIUM TOURS.

HAWANA MUDA WA KUFANYA MAIGIZO STEJINI ZAIDI YA KUHAKIKISHA WANAFANYA ZOEZI LA KUTOSHA NA BAND ZAO.
 
Huelewi unalosema mzee mwenzangu
Creativity creativity creativity
Wewe waone wnafnya bongo movie ooh wnachukua muda kujiandaa ila yote hayo ni usanii
Kwa dunia ya sas onyesha cha tofauti swah tunajua wanaimba ila kwnye kuimba weka creativity nyngine

Kwan wew hujawah kuona ndan ya bongo movie muigizaji anaimba ? Sasa cha kushangaz n nini unaona msaniii akiigiza
Ata kwnye video za nymbo msanii pale anaigiza
 
Mimi kinachonitia kichefuchefu kwenye matamasha ya wasafi na mengine ni kuhsindwa kuimb alive band.
Kuimba umezima mic ni uhuni na wizi wa fedha kwa waenzi wao.

Nini kinawafanya washindwe kufanya show ya kikubwa kama fally ipupa?
Kuimba kwa kufatilizia CD ni upuuzi wa last century. Inakera na inaboa pia.

Wajifunze kwa
BURNA BOY
THE WEEKND
ADELE

HAWA WANAFANYA WORLD STADIUM TOURS.

HAWANA MUDA WA KUFANYA MAIGIZO STEJINI ZAIDI YA KUHAKIKISHA WANAFANYA ZOEZI LA KUTOSHA NA BAND ZAO.
Ni promotion ya NGONO mikoani.full stop
 
Back
Top Bottom