hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 157
Brilliant piece!!Ndugu Members wa JF kuna kitu nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu, lakini nadhani sasa kutoka ndani ya nafsi yangu napaswa kuwashauri CCM hili walifanyie kazi haraka kwa maslahi ya Taifa otherwise hapa Vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kitu kisichoepukika bali ni kama timer bomb tu.
Kama wengi mlivyopata taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Serengeti amefariki mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, sasa kinachonisukuma mimi kuleta thread hii hapa ni kitendo cha vijana wengi kwenye mitandao mbalimbali kuonesha kufurahiswa na kifo cha DC huyu kwa maelezo tu eti ni Gamba limepunguwa!!
Sasa basi nachukuwa fursa hii kuiomba CCM ichukuwe hatua hata za Dharura maana naona kuchukiwa huku kwa CCM ni kwa kiwango cha juu ambapo sijawahi kushuhudia watu hasa vijana kuichukia CCM kwa viwango hivi, na kama mtakumbuka Watanzania kwenye misiba huwa tunaweka itikadi kando, lakini sivyo ilivyo hivi sasa.
Huu ni mfano tu ukipita kwenye kurasa mbalimbali za kisiasa za vijana hasa huko uso kitabu, na kulwe karibu wote ni verified user.
Gulam Mhedu
Breaking News : Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni Mstaafu James Yamungu amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akitokea Hospitali ya Bugando Mwanza.
· · · about an hour ago via mobile
- Juma Wandiba Ametangulia mm na ww bado.2ombe sana
41 minutes ago via mobile ·- Gulam Mhedu Mmmh
39 minutes ago via mobile ·- Deogratias Masyenene Itakuwa ni presha ya uamuzi wa mahakama!
26 minutes ago · · 1