Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Mkuu maelezo yako yanaweza kupata nguvu ukisikiliza hii clip, hasa kuanzia dakika ya 14, Mzee Kabila anavyowaelezea hao jamaa, lakini ili kupata ukweli wa mambo unaweza kusikiliza yote.

Last edited by a moderator:
Manyerere leo nikupongeze kwa kuwa mwazi na kuacha uoga kama waandishi wengine walivyo waoga hasa wa IPP Media ambao kama vile wamerogwa kila siku kututangazia porojo za Rwanda ambazo hatuzitaki...! Ni vizuri pia na TFF wakapeleka CECAFA barua kutaka like kombe la ubingwa wa kanda kuwa Kombe la CECAFA sio kuita kombe la kagame....! Huyu jamaa ni Kagame na kagenge chake cha wahuni ni washenzi na dawa ya mshenzi ni kumminya p.u.m.b.u tu...! Kwa mtazamo wangu tatizo sio Watutsi bali tatizo ni Kagame na kagenge chake cha wahuni wasiozidi 2,000 wakiongozwa na hawa akina Kabarebe, Jack Nziza, Karake n.k....! As per your wishes kwamba safari ya Kivu iishie Kigali, hilo pia nami nimelisema mara nyingi hapa JF....inshallah tutakunywa chai Kigali....April 2014 mbali sana!

TZ na Rwanda ni kati ya nchi maskini duniani, hatuwezi kuafford vita, nchi zote mbilil sasa zinakuna vichwa jinsi ya kuinua uchumi, kwa nini tupigane??? Kama kuna tofauti tunaweza kuzimaliza kwa njia nyinginezo sio kupigana. Kama shida ni kunywa chai Kigali mbona mnaweza tu kupanda ndege hata sasa hivi mkaenda kunywa chai kule tena kwa raha zenu...hiyo chai ya kunywa ndani ya combati na bunduki kwenye nchi ya watu inaweza kuwatokea puani.
 
wewe utakuwa m 23 ulieponea kifo chupu chupu huko goma.

Mokala vipi mkuu hujui vita ya uganda imetufanya masikini mpaka leo hii, tuliwasaidia Zimbabwe, south Africa, Mozambique, na wengine wengi ila sie tumebaki masikini mkiani mwa mbwa tuache kushadadia vipi tushadadie vita vya kiuchumi sasa, sio kufungwa tumefungwa ila chenga tumewalamba huu sasa ushamba
 
JF naomba muiweke hii, mkipenda, nadhani ninyi ni moderators wa mijadala ya pande zote, sio ku promote agenda za upande mmoja. Leo nataka nizungumzie conduct ya mwandishi wetu Manyerere Jackton, mwandishi nguri, mkongwe ambaye alikuwa anaandikia gazeti la Rai. Siku hizi nadhani yupo gazeti jipya la Jamhuri. Manyerere ameandika waraka, na ndani ya waraka huo ambao umepata comments nyingi, ametaja yafuatayo: 1. Kwamba Tanzania iivamie Rwanda, ifagie ikiwa ni namna ya kulipiza kisasa kwa meja aliyekufa Goma na kuisaidia Congo ipate amani. 2. Amewashambulia kabila la Watusi waziwazi na kuwaita majina ya kibaguzi sana. 3. ameandika kwa jazba eti Tanzania ijitoe kwenye EAC. Angekuwa mtoa maoni yoyote, tungeacha tu, lakini huyu ni mtu mwenye kalamu na fursa ya kumili gazeti, anaweza kulitumia gazeti lake kuwa kama Kangura la Rwanda wakati wa genocide. Sasa inakuwaje pale mwandishi anapohamasisha vita na nchi jirani? Inakuwaje pale mwandishi anapoonyesha chuki kwa jamii Fulani, hata kama ni kabila la nchi jirani? Je, Manyerere ni mwandishi kweli? maadili ya uandishi yanasemaje?
 
Ngoja nisubili wenye kujua maadili ya uandishi waje watufafanulie je ni kweli yamevunjwa....!!!
 
Hivi kumbe maadili ya uandishi ni kuogopa kuandika mtazamo wako..!!!
 
JF naomba muiweke hii, mkipenda, nadhani ninyi ni moderators wa mijadala ya pande zote, sio ku promote agenda za upande mmoja. Leo nataka nizungumzie conduct ya mwandishi wetu Manyerere Jackton, mwandishi nguri, mkongwe ambaye alikuwa anaandikia gazeti la Rai. Siku hizi nadhani yupo gazeti jipya la Jamhuri. Manyerere ameandika waraka, na ndani ya waraka huo ambao umepata comments nyingi, ametaja yafuatayo: 1. Kwamba Tanzania iivamie Rwanda, ifagie ikiwa ni namna ya kulipiza kisasa kwa meja aliyekufa Goma na kuisaidia Congo ipate amani. 2. Amewashambulia kabila la Watusi waziwazi na kuwaita majina ya kibaguzi sana. 3. ameandika kwa jazba eti Tanzania ijitoe kwenye EAC. Angekuwa mtoa maoni yoyote, tungeacha tu, lakini huyu ni mtu mwenye kalamu na fursa ya kumili gazeti, anaweza kulitumia gazeti lake kuwa kama Kangura la Rwanda wakati wa genocide. Sasa inakuwaje pale mwandishi anapohamasisha vita na nchi jirani? Inakuwaje pale mwandishi anapoonyesha chuki kwa jamii Fulani, hata kama ni kabila la nchi jirani? Je, Manyerere ni mwandishi kweli? maadili ya uandishi yanasemaje?

Unfit to posted on TZ forum, mod this fit for dustbin
 
Unfit to be posted on TZ forum, mod this fit for dustbin
 
Kagame hajagombana na Tanzania wamepishana maneno na JK, na wamemwomba Museveni awapatinishe, aidha maelekezo ya UN, Waziri Membe aliyatolea ufafanuzi mzuri tu ni kuhakikisha hakuna movement ya M23 au RPF kati ya mpaka wa Rwanda na DRC na Marekani walitaka wapeleke drones kwa ajili ya uchunguzi wa military movement across the border sasa wewe unaposema waishambulie Rwanda na waishie Kigali ni kwa maelekezo ya nani? Bila shaka wewe umezaliwa baada ya vita ya Tanzania na Uganda na sidhani kama JKT ulipitia, usingetoa mapendekezo haya, or else watu mnatumika kutaka ku divert attention yetu ya 2015 msingizie kuna vita msogeze mbele uchaguzi hatutaki na hatupigani na mtu!

karikenye,
wengine ni wavuta bangi mawazo yao ya ajabu ajabu...ni kuwapuuza
 
Ikiwa Kagame alianzisha mzozo kwa sababu tu ya kushauriwa azungumze na wagomvi wake, basi hicho kikao cha dharura alichoitisha M7 tar 4/9 mjini Kampala, kama ni cha mazungumzo tu na kitamhusisha Kagame, Kikwete na asiende, ikibidi amshauri na Kabila pia asiende, wakakae wenyewe kama walivyokaa EAC na kuitenga Tz. Kwa sasa mitutu kule Congo iendelee kurindima mpaka wanaume waende wakamhemee Kagame kwenye mipaka yake ya Rwanda huku akijua anaweza kufanywa lolote na asiweze kufanya lolote kujitetea na kajeshi kake anakoringia. Mavi yakimbana kisawasawa ataomba mwenyewe
mazungumzo, kwa sasa namsihi Rais wetu asiende kuongea na fedhuli Kagame na wala asiongee chochote kuhusiana na masuala yanayohusu Rwanda, huo muda na gharama za kwenda huko ni bora akautumia kwenda Mikoani kuhamasisha maendeleo ya humu nchini mwake.

Kwenye sayansi ya vita ...UKIONA WATU WALIOKUWA WAMEPEWA OPTION YA KUONGEA WAKAWA HAWATAKI WANALETA MANENO TUU...WAMEANZA KUKUBALI ...BASI UJUWE WAMESHIKWA VIBAYA ...NA MBINU YA MAZUNGIMZO HUTUMIA ILI MAPIGANO YASITISHWE WAKISUBIRIA REINFORCEMENT YA SILAHA,ASKARI NA SUPPLIES ....
KATIKA HALI INAYOENDLEA KWA NGOME YA WAASI KUTEKWA ,VIFAA KUTEKWA,ASKARI KUULIWA NA MENGINE....MAZUNGUMZO NI NJIA YA KUZUBAISHA ..
SERIKALI INAYAKIWA KUPLAY STRATEGIC DIPLOMACY KWA KUMUWEKA ....MAZUNGUMZO YAAZE KWA KUKUTANISHA KWANZA MAAFISA WA CHINI ILI KUANDAAA YATAKAYOONGELEWA NA VIONGOZI WA NCHI......KATIKA LEVEL YA WAKUU WA NCHI KATIKA HALI HII ILIYOPOOO NI VIGUMU KUFIKIA MUAFAKA ...
NAJESHI YA CONGO WAKATI MAZUNGUMZO YA CHINI YANAENDELEA WAO WAENDELEE NA UTARAATIBU WAO ...MAJESHI YA TPDF NA SANDF WAENDELEE NA KUFANYA SECURING ILI WANANCHI WAWE SALAMA..
MAZUNGUMZO YA MAANA YA WAKUU WA NCHI YATAFANIKIWA PALE JESHI LA CONGO LITAKAPOINGIA ANGALA KILOMETA 25 ndani ya Rwanda kuweka buffle zone ...Ili MAJESHI neutral yaingie Kuzuia MAJESHI ya Rwanda na WAASI wasijijenge tena kujivunia Congo......mkifikia hapo mkienda mezani ndio patakuwa na adabu
 
Wapigwe tu Rwanda tumeshachoka

hujui kinachokuchosha...naamini si rwanda bali ujinga wako tu...msitake kutuingiza kwenye vita maisha yalivokuwa magumu kwa sasa bila vita tukiingia vita mtakula nyasi kama alivowahi kuahidi waziri mmoja...unajua maisha ya ukimbizi au unafikiri vita ni sawa na mechi za mpira....
 
JF naomba muiweke hii, mkipenda, nadhani ninyi ni moderators wa mijadala ya pande zote, sio ku promote agenda za upande mmoja. Leo nataka nizungumzie conduct ya mwandishi wetu Manyerere Jackton, mwandishi nguri, mkongwe ambaye alikuwa anaandikia gazeti la Rai. Siku hizi nadhani yupo gazeti jipya la Jamhuri. Manyerere ameandika waraka, na ndani ya waraka huo ambao umepata comments nyingi, ametaja yafuatayo: 1. Kwamba Tanzania iivamie Rwanda, ifagie ikiwa ni namna ya kulipiza kisasa kwa meja aliyekufa Goma na kuisaidia Congo ipate amani. 2. Amewashambulia kabila la Watusi waziwazi na kuwaita majina ya kibaguzi sana. 3. ameandika kwa jazba eti Tanzania ijitoe kwenye EAC. Angekuwa mtoa maoni yoyote, tungeacha tu, lakini huyu ni mtu mwenye kalamu na fursa ya kumili gazeti, anaweza kulitumia gazeti lake kuwa kama Kangura la Rwanda wakati wa genocide. Sasa inakuwaje pale mwandishi anapohamasisha vita na nchi jirani? Inakuwaje pale mwandishi anapoonyesha chuki kwa jamii Fulani, hata kama ni kabila la nchi jirani? Je, Manyerere ni mwandishi kweli? maadili ya uandishi yanasemaje?

TANZANIA. TUNAO UHURU WA KUTOA MAONI .......HAPA MTU ANAO UWEZO WA KUMSEMA HATA RAIS NA JIONI AKARUDI NYUMBANI KULALA NA MKEWE.......( pamoja na kuwa Kampe haki hiyo Mgeni hatumpi)..
KAMA MANYERERE AMEKUKWAZA ATASHUGHULIKIWA KWA UTARATBU ..LAKINI HATUHITAJI KUAMBIWA NA MTU BAKI.....
KWANZA MNA BAHATI SANA TUNAWAACHIA MNATOA PROPAGANDA NA KU DIVERT ATTENTION MKIJIFANYA WAPINZANI .....KWENYE MASUALA YA KITAIFA HASA AMANI HAPA KUNA WATANZANIA .....UCHAGUZI UTAFSNYIKA ....TOFAUTI NA RWANDA AMBAKO HAWAJUI KAGAME ANAONDOKA LINI.......

KWANZA KWENYE FORUM ZA RWANDA TUNAINGIA KUJIBU HOJA DHIDI YA NCHI YETU ....MAONI YOTE HADI YAFANYIWE SCREENED ...HAMNA UHURU !!!!!! HAPA MNATOA MAONI HATA DHIDI YA RAIS WETU NA MAONI YENU YANAACHIWA HAYABANWI....
 
hujui kinachokuchosha...naamini si rwanda bali ujinga wako tu...msitake kutuingiza kwenye vita maisha yalivokuwa magumu kwa sasa bila vita tukiingia vita mtakula nyasi kama alivowahi kuahidi waziri mmoja...unajua maisha ya ukimbizi au unafikiri vita ni sawa na mechi za mpira....

ikidhibitika kuwa askari wetu wameshambuliwa na komboro ambalo lilikuwa launched toka rwanda .......tutapiga. Vita ya muda mfupi ...less than a week...ambazo siku zote hizo ni makombora tu kwenye kila squire kilometer moja ...burundi hawatawapokea ...mpaka wa congo moto utatoka huko...mpaka wa tanzania tutaziba....na mpaka na uganda tutakata network...mkimbie na miguu....
Muone kama waganda wataruhusu rais wao awapokeee ....you never know museveni ....chameleon ...comrade....
Kagame playing with tanzania is his terminal mistake.....tanzania is not kikwete ...kikwete is just a tanzanian.....but rwanda is kagame ..that's why you have to pay for his mistake ...otherwise mkanemi na mtoe haki sawa kwa makabila yote ...
 
Kama una huruma, anza kuwahurumia mamilioni ya binadamu wanaotesema Mashariki mwa DRC kwa baraka za Kagame.

Kweli kwa mwenye huruma ni lazima ataionea huruma WA CONGO wanaoteseka kutokana na vitendo viovu vya kagame, kama kuna ushahidi kuwa kagame anawasaidia waasi wa kongo na ya kwamba kagame anaiba mali za kongo kwanini asishitakiwe??? hivi na hili suala la kagame kuhusika ktk mauaji ya kimbari limekaaje, naomba nijibu ndugu.
 
TANZANIA. TUNAO UHURU WA KUTOA MAONI .......HAPA MTU ANAO UWEZO WA KUMSEMA HATA RAIS NA JIONI AKARUDI NYUMBANI KULALA NA MKEWE.......( pamoja na kuwa Kampe haki hiyo Mgeni hatumpi)..
KAMA MANYERERE AMEKUKWAZA ATASHUGHULIKIWA KWA UTARATBU ..LAKINI HATUHITAJI KUAMBIWA NA MTU BAKI.....
KWANZA MNA BAHATI SANA TUNAWAACHIA MNATOA PROPAGANDA NA KU DIVERT ATTENTION MKIJIFANYA WAPINZANI .....KWENYE MASUALA YA KITAIFA HASA AMANI HAPA KUNA WATANZANIA .....UCHAGUZI UTAFSNYIKA ....TOFAUTI NA RWANDA AMBAKO HAWAJUI KAGAME ANAONDOKA LINI.......

KWANZA KWENYE FORUM ZA RWANDA TUNAINGIA KUJIBU HOJA DHIDI YA NCHI YETU ....MAONI YOTE HADI YAFANYIWE SCREENED ...HAMNA UHURU !!!!!! HAPA MNATOA MAONI HATA DHIDI YA RAIS WETU NA MAONI YENU YANAACHIWA HAYABANWI....

Aisee kwenye forums zao wanachuja kweli kweli while humu JF wanatinga uhuru kabisa!! Kimsingi ni akili ndogo tu kwasababu watu wanaposema mengi kwenye forum kama hizi ndio unajua nyufa zilipo na kuziba kuliko kushtukizwa!
 
Back
Top Bottom