Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

jidanganye, vita haina macho wewe! Namibia, Angola, Congo na Zimbabwe wamechemsha. Mi sitaki vita. Kikwete aache unafiki kwa wazungu kupeleka umbea
Nyie ndio tunawatafuta tuwavue uraia kwa kuwapeleka jeshini,kule ni mwendo wa ndio afande...,thitaki ya kimdebwedo hakuna kule.
 
Hata kwa Mungu ukweli haulezwi gizani,angekuwa kamsimanga hapo kosa lakini kama ni rafiki wa kweli atatambua upendo wa rafiki yake(JK).,hakuna siri hapa kwani mkewe..

Hujaeleweka wewe kulikuwa na ugumugani mh kikwete kumtafuta kwa njia yoyote iwe simu, kumwita au yeye kuenda kigali akampa ushauli kikubwa hata asubiri kufanya unafiki kwenye jukwaa la kimataifa.

Toasababu kwanini hakutumia busara ndogo na za kawaida? hatakama mkeo ndo utoke jukwaa la nje kusema mke wangu usiwe unakojoa kitandani? hapo lazima kinuke. Acheni kutupoteza kwa propaganda za kihuni tunahitaji watanzania watete na wahoji kutekelezewa na serikali haki zao za msingi-Vita dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi badala ya kututoa nje ambako ni vita ya kufikirika wala haina tija kwa ugumu wa maisha yetu watanzania.
 
Hapa hakuna habari ya ccm wala cdm, hapa ni u Tanzania! Yaeleke hata mkeo akishikwa makalio utacheka kisa una matatizo mengi nyumbani.

Na huo ndo ujinga wenyewe, wewe kama mzalendo hebu nikuulize swali dogo tu kama kweliunaumwa na hili tatizo la kizushi.

Mh kikwete alikili kuwa na majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya. Ni watanzania wangapi wanaangamia kutokana na biashara hii? Je wewe na Mh kikwete mnafanya juhudigani kuwakamata hawa wanaouwa hadharani? majina mnayo mmeyakalia huo ndo uzalendo kuacha tanzania inaungua mnaruka mipaka kushabikia upuuzi? acheni ujinga nyie.
 
Hujaeleweka wewe kulikuwa na ugumugani mh kikwete kumtafuta kwa njia yoyote iwe simu, kumwita au yeye kuenda kigali akampa ushauli kikubwa hata asubiri kufanya unafiki kwenye jukwaa la kimataifa.

Toasababu kwanini hakutumia busara ndogo na za kawaida? hatakama mkeo ndo utoke jukwaa la nje kusema mke wangu usiwe unakojoa kitandani? hapo lazima kinuke. Acheni kutupoteza kwa propaganda za kihuni tunahitaji watanzania watete na wahoji kutekelezewa na serikali haki zao za msingi-Vita dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi badala ya kututoa nje ambako ni vita ya kufikirika wala haina tija kwa ugumu wa maisha yetu watanzania.
Huwez nielewa kwa sababu akili yako na Pk zinafanana,hizo agenda EA hazitafanikiwa,mmejulikana Congo mnalia,hata Membe kasema kwenye taarifa ya habari ITV tanzania haitarudi nyuma DRC tunamsubiri uyo mende aliepeleka jeshi mpakan mwa DRC aue JWTZ...
 
Huyu mnyarwanda asikuumize kichwa! Fidodido Kagame Apigwe tuh.
 
PK hana uhalali wa kuendeleza vita kwa vigezo vya mauaji ya kimbari. Wale wanaoteseka na kuuwawa kule Congo wao io watu? Halafu visasi vinasaidia nini kama sio kuendeleza chuki kutoka generation moja kwenye mpaka nyingine? Afrika yetu hii kiongozi wa kweli alikuwa Mandela. Alijua anachofanya. PK ataishia kwenye shimo analochimba. Anafanya great lake regions isiweze kujitawala na kujiendeleza kiuchumi kwa vita visivyoisha.
 
Hujaeleweka wewe kulikuwa na ugumugani mh kikwete kumtafuta kwa njia yoyote iwe simu, kumwita au yeye kuenda kigali akampa ushauli kikubwa hata asubiri kufanya unafiki kwenye jukwaa la kimataifa.

Toasababu kwanini hakutumia busara ndogo na za kawaida? hatakama mkeo ndo utoke jukwaa la nje kusema mke wangu usiwe unakojoa kitandani? hapo lazima kinuke. Acheni kutupoteza kwa propaganda za kihuni tunahitaji watanzania watete na wahoji kutekelezewa na serikali haki zao za msingi-Vita dhidi ya umasikini, ujinga na maradhi badala ya kututoa nje ambako ni vita ya kufikirika wala haina tija kwa ugumu wa maisha yetu watanzania.

JK alitumwa tu am-proke PK SADC wapate pakuingilia. Mipango ya wamfanyeje PK itakuwa haikuanzia Ads. Hata waraka wa Mtikira, wahamihaji haramu ni kutuzuga kwa aliyonayo jk. Alhamisi ya wiki hii majanbazi yameteka magari maeneoya Nyakanazi (kwa mjibu wa jk huko kulipaswa kuwa pamefagiwa na operation ambayo haijawi kutokea) but......very hard to believe what is really happening. Hebu jaribu tu kuhuliza nini kimefanyika mpaka sasa kuhusu hiyo operation ndo utaijua tzn..
 
Manyerere ameonyesha ubaguzi wa waziwazi dhidi ya watusi, siku moja atapelekwa mahakamani, na hii thread yake ipelekwe baraza la habari make amechochea vita na chuki dhidi ya watu. Sijawahi kusoma gazeti lake la Jamhuri ntafuatilia nione hiyo chuki zake
Hivi unajua kama kuna watutsi waTanzania kama walivyo wajaluo/wamasai ambao pia wanapatikana nchi za jirani?
 
Niseme tu wale wote wanaoshadidia Tanzania kuingia vitani na Rwanda ni wapumbavu tena sana. Kuna tishio gani la usalama kwa nchi yetu lenye kuweza kutulazimisha kuingia vitani na Rwanda? Uchumi gani tulionao wa kupigana vita? Na kwa maslahi ya nani?
 
niseme tu wale wote wanaoshadidia tanzania kuingia vitani na rwanda ni wapumbavu tena sana. Kuna tishio gani la usalama kwa nchi yetu lenye kuweza kutulazimisha kuingia vitani na rwanda? Uchumi gani tulionao wa kupigana vita? Na kwa maslahi ya nani?

wewe utakuwa m 23 ulieponea kifo chupu chupu huko goma.
 
Manyerere ameonyesha ubaguzi wa waziwazi dhidi ya watusi, siku moja atapelekwa mahakamani, na hii thread yake ipelekwe baraza la habari make amechochea vita na chuki dhidi ya watu. Sijawahi kusoma gazeti lake la Jamhuri ntafuatilia nione hiyo chuki zake

Tukiweka siasa kando ni dhahiri mtu kama ni mzamiaji anapaswa kushughulikiwa kama sivyo basi hata sheria za uhamiaji basi duniani hazina maana kumbe
 
tungepigana na Malawi ingekuwa na logic kidogo kwakuwa walikuwa wanachokochoko kule nyasa,sasa hizi chereko za kutupiana maneno ndo zituingize vitani?hata huyo kabila yupo kimyaaaaaaaaa anakula shushu sisi ndo viherehere eti tunataka kuikomboa kongo!FUTA DELETE KABISA.
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

Nadhani wewe utakuwa sio mtanzania na kama nia mtanzania basi utakuwa ni mwehu.
 
Niseme tu wale wote wanaoshadidia Tanzania kuingia vitani na Rwanda ni wapumbavu tena sana. Kuna tishio gani la usalama kwa nchi yetu lenye kuweza kutulazimisha kuingia vitani na Rwanda? Uchumi gani tulionao wa kupigana vita? Na kwa maslahi ya nani?
We kipua -------- mwenyewe.,jiandae kuondoka laasivyo iyo pua tutaichonga na panga...
 
Nimeamini kweli ww ni nyumba ndogo ya fidodido kagame! Huu uzi hauhusu madawa ya kulevya. Kwa akili yako nilivyo iona,unaweza kuulizwa ni nani golkipa wa taifa star na ukajibu ni Rashid matumula.

kwa ulivyo mpubavu nani kakwambia Kagame ni tishio kwa Taifa la Tanzania? Tishio letu ni bishara ya madawa ya kulevya ambayo yanaathili na kuharibu nguvu kazi yetu. kwa upuuzi na upumbavu badala ya kujadili vitu vinavyo athili nguvu kazi yetu na future yetu mnaleta ushabiki wa kilimbukeni hapa kutopoteza tusijadili mambo ya msingi kwa taifa letu.

Huu ni uzuzu nani kasema kagame ni adui wa watanzania zaidi ya nyinyi wazalendo fake kutufake watanzanaia na kutuzingua?
 
Back
Top Bottom