Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
OK. Unadumisa mila ile watu nyingine kwisasindwa kutunsa? Fisuli rafiki. Fema kusema ayo, ila saingine sungumsia fafanusi ili na mamayoyoo pate kuyua wewe nasema nini. Hapana mbaya kusungumusia makonde na ile mingine jaluo na kichaga ya Marangu na Machame na Rombo ile kabila luga mingi mabali hapana elewana lakini yote Masawe na Swai. Kama wewe cheka hadololo kwisaongesa maisa dakilka bili.
Leka
Leka