Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

Mkuu OKW BOBAN SUNZU,
Mimi nipo Makao ya CHADEMA. Taarifa zote za vikao vya ndani ya CCM kuanzia vikao vya Sekretarieti, CC, NEC hadi Mkutano Mkuu huwa tunaletewa na baadhi yao wenye nia njema na Taifa letu. Na kuna kipindi walikuwa wanatuletea hadi Muhtasari wa Kikao, ajenda na copy of signed list of attendance. Yani ukiwa CHADEMA Makao Makuu ni kama upo Makao Makuu ya CCM. Siri zao zote tunazipata.

Wewe unataka wapeleke polisi kwenda kusearch kule ofisini sasa. Wanaweza pia wakatuma watu kuchoma moto. Mnaficha hizo documents ofisini hamuoni ni hatari? Chchote kinaweza kufanyika.
 
Hapa tunajadili hewa tu hii aina tofauti na ile habari ya TUNTEMEKE ya Mbowe na ukaskazini...watu hata hawajaona huo waraka wanasifia tu sababu katamka Slaa..

Kumbuka Slaa, alishawahi kusema wamekamata Kontena la futi 40 kule Tunduma likiwa na kura.

Leo tena analeta usanii kaona neno ufisadi halina tena mvuto kaamua kuja kwa mtindo wa waraka wa siri.

Hao wakuu wa mikoa ndio wataunda katiba ya Tanzania?

Slaa, wewe endelea kuwadanganya wafuasi wako lakini watu makini huwezi kuwapata.

neno ufisadi lisingekuwa na mvuto magamba yangelidandia?
 
Mkuu hatujakataa hiyo hoja ila ni muhimu pia kuuweka wazi hapa ili na sisi tujue kilichomo kati ya mistari as we know tunatofautiana sana jinsi tunavyosoma na kupata maana kutoka katika maandishi as compared to kuambiwa kwa kinywa. Ni muhimu huo waraka kama upo uwekwe wazi

OLESAIDIMU,

Wewe unaambiwa HUO WARAKA NI SIRI.Mbona unakomaa huo waraka uwekwe hapa jamvini? Kumbuka kuwa bado ni SIRI kwa CCM na serikali yake. Kuvuja kwa SIRI hiyo kupitia kwa wakereketwa wachache wenye uchungu na nchi hii ndani ya CCM hakuondoi USIRI wa waraka huo. Peace.
 
Yani sasa hivi kila kinachofanywa na CCM iwe mchana au usiku lazima taarifa lazima ifike hapa Kinondoni Mtaa wa Ufipa! Na wanaoleta habari ni wao wenyewe!

Mipango yenyewe inapangwa na mavuvuzela itaacha vipi kuvuja?
 
Mkuu Tumbiri
Unatuwekea Mazingira magumu ya jinsi ya kunyofoa taarifa Sasa hivi tutaanza kuogopa kwa kuwa macho yataanza kuwa mengi!

Mkuu wala msiogope. Hata siku moja hutaskia CHADEMA inasema flani ndiye katuambia au flani ndiye katuletea nyaraka. We are very smart on that!
 
Wewe unataka wapeleke polisi kwenda kusearch kule ofisini sasa. Wanaweza pia wakatuma watu kuchoma moto. Mnaficha hizo documents ofisini hamuoni ni hatari? Chchote kinaweza kufanyika.

Gongolo,
Siyo kosa la jinai kukutwa na nyaraka za chama kingine cha siasa.
 
Ni katiba itakayokuwa na maslahi ya Freemasons,wala sio ya CCM.CCM inatumiwa kama karai.
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU
 
Wakuu baba Ritz na Magamba wenzake wanajua 2015 hawatakuwa na chakuwandanganyia wa-TZ ndo maana wanalazimisha kwa namna yoyote ile 2014 lazima katiba mpya yenye msilahi na Chama cha magamba (CCM) ipitishwe ili iwe mtaji wa kuomba KURA 2015 kwani mpka muda huu hawajafanya la maana mbele ya wa-TZ zaidi ya mchakato wa Katiba mpya
 
mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.

Mkuu maana ya neno mnafiki linaendaje kwenye thread hii? Mbona tunapoambiwa yanayoendelea na yanaofanywa na CCM na serikali inasemwa uzishi, lakini nuchunguzi ukifanyika inaonekana kuwa kweli?

Augustine Lyatonga Mrema alikuwa akisema kuwa nchi inaliwa na kuibiwa tulimwita mjinga, mzushi na mwongo, lakini ukweli umekuja kuthibitisha kuwa yeye ni mkweli, na waliokuwa wanasema mwongo ndio waongo na wameonekana kuwa ni wezi wakubwa.

Kumwagika damu is not necessarily a bad thing. Wakristo wanaamini kuwa Yesu alimwaga damu kwa ajili ya kuwakomboa wengine, so inawezekana watanzania wengine wakamwaga damu kwa ajili ya kuwakomboa watanzania wengine.
 
Sasa hivi ni uchunguzi kwa kwenda mbele. Arumeru waliongeza vituo hewa baada ya kushitukiwa wakaachana na mpango huo na matokeo yake wakabwagwa. THE SAME WILL HAPPEN.... Tusubiri...
 
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU
Ukisikia katamka tu waraka bila kuusoma ujue kapika, mtaalamu wa mapishi ya nyaraka huyo mimi simuamini tena bhana, nshachoka mie.
 
OLESAIDIMU,

Wewe unaambiwa HUO WARAKA NI SIRI.Mbona unakomaa huo waraka uwekwe hapa jamvini? Kumbuka kuwa bado ni SIRI kwa CCM na serikali yake. Kuvuja kwa SIRI hiyo kupitia kwa wakereketwa wachache wenye uchungu na nchi hii ndani ya CCM hakuondoi USIRI wa waraka huo. Peace.

Haya bana kama intelijensia ndo inaonyesha hivyo.......ila kuna mchangiaji jana alisema tatizo ni scanner pale alipo and i thought leo tatizo lingekuwa limepatiwa ufumbuzi

Hope viongozi husika wanajua wajibu wao juu ya hii scenario............waweke maneno ya authority !!!!!!!
 
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU

kuweni makini si kila analosema linukweli siasa bana acha tu
 
Back
Top Bottom