Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

CCM mwaka huu, jasho litawatoka manake hadi kuta zao na printers zina masikio na midomo. Wangeua chama wajisajili na jina jipya!
 
huyu Dr slaa kwa kuspine mambo hajambo, siasa lazima uwe spinner? utaratibu wa kutafuta katiba mpya uko wazi, kamati ina watu ambao wanajulikana uwezo wao na kutoshawishika kutumika.

sasa hayo mengine yatawezwaje kufanywa?

muhimu wananchi wende wakatoe mawazo yao kwa uwazi na ukweli na kamati itasikiliza na kuyafile kwa hatua ya mbele.

tuache kuwatisha wananchi
 
Kama kaupata Slaa umekuwaje waraka wa siri?

Kwani chama kuwa na mawasiliano na wanachama au viongozi wao kuwa chama chao kinapigania katiba mpya iwe na hiki au kile ni siri?

Kweli huyu dokta hana mshiko.

Huyu ni rais wa jamhuri ya Muungano wa Tz Dr SLAA utake usitake,ndo maana nyaraka anapewa na wanaccm wazalendo. Sisi WASUKUMA na watz wote wa shy,mwnz,Tabora na Simiyu TUTAMCHAGUA TENA 2015 kwa 100% utake usitake.
 
mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.

Woga usiokuwa na fikra ni ugonjwa mbaya sana. Wewe unaona ni halali tume ya marekebesho ya kukusanya maoni juu ya katiba ifanywe kwa manufaa ya mafisadi tu? Nchi hii si ya wana CCM tu bali ni yetu sote hata ambao hatujui maana ya CCM.
 
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU

ccm wanatakiwa wajuwe kuwa wakitunga katiba itakayowapendelea wao kwa ajili wako madarakani ..kesho katiba hiyo hiyo itatumika kuwakandamiza wao wakati watakapokuwa chama cha upinzani..tutunge katiba imara ya taifa isiyoegemea upande wowote.....
 
Huyu Daktari wa Falsafa Mh Dr Slaa tunamkubali sana huku Sukuma land kama wanavyomkubali kule Mbeya,Rvuma,Arusha,Rukwa nk.Hata nyie sisiem mnampenda sana Dr Slaa,ndio maana mnampa nyaraka zenu za siri. By 2015 magamba jiandaeni kumkabidhi mikoba na funguo za magogoni.
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU, Mimi nipo Makao ya CHADEMA. Taarifa zote za vikao vya ndani ya CCM kuanzia vikao vya Sekretarieti, CC, NEC hadi Mkutano Mkuu huwa tunaletewa na baadhi yao wenye nia njema na Taifa letu. Na kuna kipindi walikuwa wanatuletea hadi Muhtasari wa Kikao, ajenda na copy of signed list of attendance. Yani ukiwa CHADEMA Makao Makuu ni kama upo Makao Makuu ya CCM. Siri zao zote tunazipata.
usimwage mchele kwenye kuku wengi.
 
Hawa ccm bado wana mawazo yaliyopitwa na wakati ya kuendelea kutawala kwa kubebwa na katiba na dola waliyoiweka, hawajui kwamba kwa watanzania wa leo kinachohitajika ni unawafanyia nini, basi!
Inabidi wapate ushauri kwani wanajisahau kwamba 2015 watakuwa wapinzani na hayo wanayohangaika nayo ndiyo yatakayo warudi.
 
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU

mi nadhani ilikuwa ni busara kuuweka hadharani ili kila mtu awe na ushahidi kuwa iwapo mchakato wa kuipata katiba mpya hautafanikiwa, basi mchawi ni NEC ya ccm. ukisema pasipo data, inakuwa kama uzushi. namkubali dr. slaa, aliwahi kuwasema mafisadi kwa majina yao, sioni ya sababu ya kushindwa kuweka hadharani waraka huo ili na aliyesaini tumfaham
 
Oioih lord help us Tanzanians against all these evil things of Magamba ccm
 
ccm hawataiweza nguvu wa wananchi,
na hii ndiyo inaashiria ccm kumfia baba mwanaasha.
 
Yani sasa hivi kila kinachofanywa na CCM iwe mchana au usiku lazima taarifa lazima ifike hapa Kinondoni Mtaa wa Ufipa! Na wanaoleta habari ni wao wenyewe!

Basi ujue mwisho wa ccm wanaujua vizuri wao wenyewe. mafuriko yanapoanza si unatafuta mahali palipoinuka ambapo unaamini utakuwa salama kukimbilia hapo? Lakini utabakia bondeni hukohuko ukisaidiana na wenzako kupiga makelele serikali iwalipe fidia ili muhame. Siku ya siku ikifika maji yanapojaa ndani unatoweka tratiiiiiibu kuelekea kilimani. CCM walijinyonga wenyewe pale walipomdharau Dr Slaa kwamba hafai kuwa mmoja wao ndani ya CCM, sasa maamuzi mabaya matokeo yake ndiyo hayoooooo. Bado yanakuja zaidi. Ya Lowasa yanawanyima usingizi, ya Sita, ya Mwakyembe, ya nani sijui, kamchezo katamu hako!
 
mbona hata chadema imetoa waraka kwa wabunge wote kutoa elimu ya mambo yanayotakiwa kuwepo mfano mwezi february mbunge viti maalum chadema mkoa wa singida dada yake tundu lisu aliendesha kikao cha semina hotel ya aqua kuanzia saa 3 asubuhi na kuwapa wajumbe 5000 ya nauli kila mjumbe! dr slaa ccm wanahaki yakuwa na mkakati kama ninyi chadema mnavyo fanya!
Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanya kazi za CCM na si za Serikali!
 
Mie bado sijaridhika na hoja...angetudodosea hivyo vipengele vya maslahi na source ndo tujadili.....no data&nbsp; no right to argue....ila shida lazima itakuwepo<BR>
 
Nina ushahidi wa kutosha kuhusu wabunge wa 1977(CCM) wanataka kuhamia CDM na madiwani kibao kila siku wananipigia huku majuu nitawatajieni wote.
CCM pwaa 2015!!CDM with M4C in total power!


Usitutaje kwanza ngoja tufike 2014 ndo ututaje.
 
huyu Dr slaa kwa kuspine mambo hajambo, siasa lazima uwe spinner? utaratibu wa kutafuta katiba mpya uko wazi, kamati ina watu ambao wanajulikana uwezo wao na kutoshawishika kutumika.

sasa hayo mengine yatawezwaje kufanywa?

muhimu wananchi wende wakatoe mawazo yao kwa uwazi na ukweli na kamati itasikiliza na kuyafile kwa hatua ya mbele.

tuache kuwatisha wananchi

Mkuu Unaongea kama Hauko Tanzania bana wewe una fikiri kwa nini Akina Kilango Malecela walililia ma DC ambao ni Makada wa CCM wawepo kwenye tume ya Katiba?

With CCM anything is possible na ninamwamini Dr. Slaa
 
Back
Top Bottom