Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU
 
Mtetezi wa wananchi yuko kazini, Simsifii huyu mzee lakini kila mtu anaona anachokifanya, Mafisadi wanamwogopa sana ndiyo maana hawataki 2015 agombee. CCM wanamwogopa sana,

Kawashika pabaya, CDM itisheni peoples power najua JK na CCM yake hawaendi bila peoples power.

Tatizo ni kwamba CDM wakijitoa patachimbika kwa hiyo lazima warekebishe hizo kasoro.
 
Back
Top Bottom