Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

eebwana mimi huwa najiuliza ivi Dr Silaa huwa anapata wapi hizi ishu nyeti hivi? nakumbuka ishu za epa alipata nyeti yeye, rada na na nyingine nyingi. hivi anayapataga wapi?
 
Kikwete asi-underestimate nguvu ya CDM kwenye suala la kuandika katiba, CDM ni kama imeshikilia mpini siku ikisema inajitoa na kuhamasisha watu kuipinga sijui kama CCM inaweza kuandika peke yake.
 
mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.
Ni heri damu imwagike tukamwaga niko tayari kwa ajili ya ukombozi wa wa vizazi vijavyo kuliko hali tuliyonayo sasa hivi
hata kama mimi sitakuwepo kushuhudia wako watakaokujakufaidi hayo matunda
 
Nina ushahidi wa kutosha kuhusu wabunge wa 1977(CCM) wanataka kuhamia CDM na madiwani kibao kila siku wananipigia huku majuu nitawatajieni wote.
CCM pwaa 2015!!CDM with M4C in total power!

Weka hapa kamanda, hapa ndo JF, where we dare to speak OPENLY
 
Wanaccm nao wamechoka kutumiwa kama condom, ndiyo maana kila mpango mbaya unapopangwa unasanukiwa na wazalendo.
 
Hata kama source ni ITV kwani Dr. Hana copy, si unascann tuu na kuweka basi. Source is not an issue, tunataka kuusoma huo waraka.

Acha kutujazia server hapa! Ukiusoma utatusaidia nini Benno? Mbona ya rada, Kiwira coal Mine na EPA yako wazi hamjachukua hatua yoyote nyie magamba msiyo na uchungu na nchi hii?
 
TUMBILI bana unanipaga raha sana, kwa hiyo unamaanisha wanajisalimisha wenyewe kwny ofisi ya CDM, kabla msako haujafanyika

Mkuu OKW BOBAN SUNZU,
Mimi nipo Makao ya CHADEMA. Taarifa zote za vikao vya ndani ya CCM kuanzia vikao vya Sekretarieti, CC, NEC hadi Mkutano Mkuu huwa tunaletewa na baadhi yao wenye nia njema na Taifa letu. Na kuna kipindi walikuwa wanatuletea hadi Muhtasari wa Kikao, ajenda na copy of signed list of attendance. Yani ukiwa CHADEMA Makao Makuu ni kama upo Makao Makuu ya CCM. Siri zao zote tunazipata.
 
mbona hata chadema imetoa waraka kwa wabunge wote kutoa elimu ya mambo yanayotakiwa kuwepo mfano mwezi february mbunge viti maalum chadema mkoa wa singida dada yake tundu lisu aliendesha kikao cha semina hotel ya aqua kuanzia saa 3 asubuhi na kuwapa wajumbe 5000 ya nauli kila mjumbe! dr slaa ccm wanahaki yakuwa na mkakati kama ninyi chadema mnavyo fanya!
 
eebwana mimi huwa najiuliza ivi Dr Silaa huwa anapata wapi hizi ishu nyeti hivi? nakumbuka ishu za epa alipata nyeti yeye, rada na na nyingine nyingi. hivi anayapataga wapi?

unakumbuka ile ishu ya Arumeru kuwa B. mkapa wslikaa kikao cha siri pale snow crest hotel kupanga jinsi ya ushindi wa sioi? huyu ndo chaguo letu watanzania.
 
Kitendo cha akina Anne Kilango & co kupambana ili kifungu cha kuruhusu wakuu wa wilaya watumike lililenga kuhitimisha hili la kuhakikisha kinachotakiwa na CCM tu ndo kinapita.. Hii ni hatari sana.. To force CCM interests kwa katiba mpya inaweza kusababisa a cataclysm kwa nchi hii ambayo wenyewe wanaimba ati ina amani..
 

Mkuu OKW BOBAN SUNZU,
Mimi nipo Makao ya CHADEMA. Taarifa zote za vikao vya ndani ya CCM kuanzia vikao vya Sekretarieti, CC, NEC hadi Mkutano Mkuu huwa tunaletewa na baadhi yao wenye nia njema na Taifa letu. Na kuna kipindi walikuwa wanatuletea hadi Muhtasari wa Kikao, ajenda na copy of signed list of attendance. Yani ukiwa CHADEMA Makao Makuu ni kama upo Makao Makuu ya CCM. Siri zao zote tunazipata.

Dahhhh!!!!
 
Hii ndio CDM bwana utaipenda tuu maana lolote wafanyalo CcM hakika lazima yamfikie Dr Slaa na hii ni dalili kua hata wana Ccm wamechokana wao wenyewe,Mungu Ibariki CDM,Mungu wanachama na wapenzi wa CDM popote pale walipo
 
Sheria mpya inazuia kuziweka hadharani nyaraka za siri, ndo' maana hakuna haja ya kuiweka hapa. Cha msingi ukweli umewekwa hadharani. Tujipange kuzuia fitina za CCM kwa namna yoyote ile. Tuna nafasi nyingi na fursa nyingi za kuzuia udhalimu wa aina yoyote ile.
 
Ikiwa ni kweli, kuna kitu/jambo la kufanya hapa! Dr,aitishe press comference, autangazie umma wa waTZ yale yote yaliyokusudiwa kufanywa na maRC na maDC. Aainishe moja baada ya lingine, nani kauandika, madhumuni ni nini,...aaarrgh!
 
Back
Top Bottom