Ukweli ni Uhuru
View attachment 57359
Mnyika kwa ile kauli yako umejivunjia sana heshima yako jifunze kwa Slaa jinsi ya kufikisha hoja kiungwana...Slaa kapambana mara ngapi na JK, lakini hata siku moja ajawahi kutoa kauli za kejeli wewe bado kijana mdogo bado unaitaji kujifunza usikurupuke hovyo utapotea.