Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.

Dhaifu wewe, au umesoma kutoka kulia kwenda kushoto? Hakuna msamaha ulioombwa ni mpuuzi tu kama wenzako wengine
 
duh nimepitia waraka wote hakuna hata kero za jimbo la ubungo hakuna kwenye waraka mrefu wa ngojera ya ukweli uhuru! ngonjera ngonjera ngonjera! wana ubungo mme-vulugwa mchana kweupe!

Ni kwakuwa umepitia tu lakini nakushauri usome huu waraka utaona jinsi Ubungo ilivyozungumziwa.Acha uvivu wa kusoma.
 
watz wenye akili timamu,wanaithamini nchi yao,wanaofuatilia mambo,na wenye uhuru wa fikra wako proud sana na vijana kama Mnyika.tuwashukuru na kuwapöngeza watu wa ubungo kwa kutuletea huyu kijana bungeni.mchango wako utakumbukwa na 'watu' wa kizazi hiki na kijacho.keep it up!
 
Hatuwaogopi sisi, muda wa mapinduzi umefika, CCM lazima waondoke 2015, msalia mtume tunasema sisi watanzania.

Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.
 
Huyu bwana ni excellent. Tunahitaji watu kama hawa Tanzania yetu.Wapo wengi sana watu wa iana hii. Tutuafika mbali kimafanikio kama tutakuwa wazalendo wa kupigania maendeleo ya nchi hii. Huyu JK na fisadi anawaficha sasa imefika sehemu waachie ngazi. 2015 ndiyo jibu letu watanzania.

watz wenye akili timamu,wanaithamini nchi yao,wanaofuatilia mambo,na wenye uhuru wa fikra wako proud sana na vijana kama Mnyika.tuwashukuru na kuwapöngeza watu wa ubungo kwa kutuletea huyu kijana bungeni.mchango wako utakumbukwa na 'watu' wa kizazi hiki na kijacho.keep it up!
 
...UKWELI NI UHURU...
Kila mapinduzi hutengeneza mashujaa na wasaliti wake.UKWELI NI UHURU...
Hongera MNYIKA,wewe ni shujaa...
Umethubutu kumwambia mfalume amekaa uchi,sasa ni wajibu wake kujistili ama aendelee kujiacha uchi...
UKWELI NI UHURU...
 
Kiongozi
Kwa hiyo Rais anao uwezo wa kikatiba wa kuepusha bunge kuvunjwa kwa kutumia vipengele ulivyotaja ili kufanya marekebisho hivyo wabunge hawatafikia hatua ya kupiga kura ya hapana kwa bajeti.????
Watu wengi humu ni mazezeta wanaodhani wana wezo na ufahamu mkubwa. Wewe umeuliza swali la maana sana. Kauli yake jinsi alivyoitoa ni kishari mno na ilikuwa imekaa ki-Lema/Heche na wala siyo jinsi alivyokuwa mstaarabu.

Unajua haya mambo ya uenezi yasikufanye Mnyika uwe kama hao Mangi kwenye chama chako (kama cheo, sio ukabila), tunajua kwa humkubali Kikwete kama rais halali wa nchi yetu kwani uliondoka mkutanoni wakati wa ufunguzi wa bunge, ukataka wapinzani wapewe nafasi mbili bunge la EA, ukapewa ingawa si sheria na sasa umemwita rais dhaifu just to hit back on Mwigulu's statement. Thats childish na hapa tulipofika is a function of so many blunders, siyo JK peke yake.
Usiwe kama Lusinde, show us that you are cut from a different cloth.
 
Na vipi angeongeza hilo neno 'zezeta' kwenye kauli yake siku ile si mngejinyonga kama mtaalamu wa anga angeitwa zezeta?! Au hao unaowaita mazezeta hapa hawastahili heshima??? UKWELI NI UHURU!!!
 
Na vipi angeongeza hilo neno 'zezeta' kwenye kauli yake siku ile si mngejinyonga kama mtaalamu wa anga angeitwa zezeta?! Au hao unaowaita mazezeta hapa hawastahili heshima??? UKWELI NI UHURU!!!
Kwani unafikiri msemo wake umetusaidia nini? Kwa mfano wewe ni zezeta.
 
Sasa we mnyika,bla bla nyingi za nini, si ungesema unaomba msamaa kwa maneno machache tu. Cheza na Kikwete wewe, haya wana CDM, jamaa yenu anajitetea na kuomba msamaha baada ya kuropoka.

Dude are you serious.............ebu uondoe utani wako hapa na urudie kusoma kwa makini. Ukweli ni Uhuru
 
Kila siku inaposemwa Rais ana Mamlaka makubwa inaonekana watu hawajui exactly mamlaka yake yanavyogusa maisha yetu, kwa alivyofafanua Mnyika sasa tunaona haswa udhaifu wa Rais kwa kushindwa kutumia mamlaka yake ipasavyo na hakika tunahitaji kubadili hili kwa Katiba mpya if we gonna get any
 
mnyika upeo wako sawa na wakina komba,lusinde,nepi na lukuvi kama 1000
 
Acheni jK ajitetee mwenyewe.
Wote wanaotoa vitisho kwa Mnyika kwa kujipendekeza kwa jk ni kuonyesha jinsi walivyo dhaifu na wanafiki, na mbumbumbu.
Mnyika ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na fahari ya vijana na wasomi.
 
Wewe Ecoli unafikiria kwa kutumia Masaburi; kwa akili yako Mh.J Mnyika anafanana na Mbunge gani wa magamba? nadhani umetumwa wewe na mafisadi, viva Mh, J Mnyika tupo pamoja magamba umewashika pabaya.....:photo:
 
Mnyika kwa ile kauli yako umejivunjia sana heshima yako jifunze kwa Slaa jinsi ya kufikisha hoja kiungwana...Slaa kapambana mara ngapi na JK, lakini hata siku moja ajawahi kutoa kauli za kejeli wewe bado kijana mdogo bado unaitaji kujifunza usikurupuke hovyo utapotea.
 
Back
Top Bottom