JosM
JF-Expert Member
- Oct 11, 2008
- 679
- 19
teh teh teh hakika ni la kidini na lakibaguzi,jaribu kusoma habari zilizomo ndani yake unaweza usilale usiku.Watu wanaosoma gazeti hili, wana shida, mimi kwanza nikiona tu huwa nalipisha kwasababu huwa naona kama limeandikwa na Osama.