Waraka maalum kwa Wakristo Zanzibar (?)

Status
Not open for further replies.
Watu wanaosoma gazeti hili, wana shida, mimi kwanza nikiona tu huwa nalipisha kwasababu huwa naona kama limeandikwa na Osama.
teh teh teh hakika ni la kidini na lakibaguzi,jaribu kusoma habari zilizomo ndani yake unaweza usilale usiku.
 
daah! bado tu tunamawazo dhaifu kiasi hiki, maendeleo kwetu ni mlima tusiouweza kuupanda kama tunafikiri tunaweza kuishi kwa mawazo ya kiuzandiki yaliyoja nyongo za hasira,hila,chuki na ufinyu wa mawazo kama ya mwandishi wa makala hii.

strategy yako ni ya kipuuzi na haiwezi kufikisha kwenye lengo lako. nalazima ufe mapema kwasababu unasumbuka namambo ambayo hayana tija na nahisi hata upeo wako unahitaji kuchunguzwa. Jirekebishe ili uishi muda mrefu na kwa manufaa zaidi.

Pole kama utahisi nimetumia maneno makali.
 
Poleni sana mlioandika waraka huu!!!,Unajua tumeuzoea usemi usemao "Wanao kaa pamoja ndio wanaojuana,kama si kwa lugha basi kwa matendo hata kwa ishara tuu.

Ukisoma waraka huu kama wewe ni mkristo utajua wazi kwamba waraka huu umeandikwa na mtu asiye mkristo yaani aidha mpagani au dini nyingine tofauti na mkristo.

Nashangaa ni mkristo gani aliyemwaasi mungu kiasi hiki na kuandika waraka huu,(Tumezoea kusema Mungu baba,bwana Yesu,roho mtakatifu n.k/sasa hii Bwana Mungu inatoka wapi???).Mwandishi huyu hakika ni kibaraka kabisaa!.

Wakristo tunajua nini maana ya amani na kukaa kwa upendo na kuvumiliana katika madhaifu na kumwachia mungu pekee aamue sio maamuzi ya kibinadamu.
 
Waraka tutaendelea kusoma .lakini nigependa kuelewa Ndani ya Bunge la Tanzania kuna idadi Gani ya wabunge wakiristo na wale wakisilamu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom