Waraka kwa mke wa mtu (ex)

DU! Kwa nini asioge kabla ya kuondoka?au mlikuwa guest za uchochoroni? Mambo yote self contained room.
 
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili unayougulia.Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tukio hili na ninakuahidi kusimama bega kwa bega na wewe katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yako.Kilichotokea kwa kweli lilikuwa ni jambo la bahati mbaya sana na sikutaraji penzi letu ligundulike kwa mmeo.Mimi na wewe tungejuaje kuwa kipande cha pakiti ya kitendea kazi kingeganda mgongoni mwako hadi hadi kupelekea uliporudi nyumbani mmeo akione wakati unajiandaa uingie bafuni? it was indeed a freak accident.Ghadhabu ya mmeo iliyompelekea akupige hadi ulazwe na kisha akuletee talaka yako wodini naielewa,kikubwa bora uzima.
Pamoja na kwamba hali hairuhusu mimi na wewe kuoana lakini naahidi kukusaidia uweze kusimamia miguu yako mwenyewe,kwanza tugange maumivu.
I still love you,
Bishanga Abashaija.


Na bado mengi yatawakuta nyie wapenda vya watu,mungu anayafunua madhambi yetu kwa kila atakae ufunuo
 
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa paole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili unayougulia.Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tukio hili na ninakuahidi kusimama bega kwa bega na wewe katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yako.Kilichotokea kwa kweli lilikuwa ni jambo la bahati mbaya sana na sikutaraji penzi letu ligundulike kwa mmeo.Mimi na wewe tungejuaje kuwa kipande cha pakiti ya kitendea kazi kingeganda mgongoni mwako hadi hadi kupelekea uliporudi nyumbani mmeo akione wakati unajiandaa uingie bafuni? it was indeed a freak accident.Ghadhabu ya mmeo iliyompelekea akupige hadi ulazwe na kisha akuletee talaka yako wodini naielewa,kikubwa bora uzima.
Pamoja na kwamba hali hairuhusu mimi na wewe kuoana lakini naahidi kukusaidia uweze kusimamia miguu yako mwenyewe,kwanza tugange maumivu.
I still love you,
Bishanga Abashaija.

.....khaaa! astaghafirulah.....hahahahaha....
 
Bishanga hii kali Mkuu, yani Baada ya Kula Tundi, huyo Mwana Mama hakuoga (Thas why kipande cha kitendea kazi Mgongoni kikaunguza picha).
Next time ukimaliza, tupigie simu sie Wazee wa Mchwechwe tukueleze nn cha kufanya incase kama kuna kitu umeshau
 
Dah! we kweli mzoefu, kumbe siku hizi hamuendi Nyegezi na Nyakato, ni wilaya hadi wilaya!

Unashangaa nini? Mbona wake za watu wanafumuliwa tu bila wasiwasi, cha muhimu ni usiri wa hali ya juu. Kwa Mwanza kama mtu unakaa Ilemela ukitaka kumchapa mke wa mtu mpost Magu au Geita huko!
 
ha ha ha ha....Bishanga banaaa.....hii naona ingefaa kule chit chat
 
Back
Top Bottom