Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Oops u missed it again! nilimesema mwenyewe Halisi kaelewa ila wewe ulievamia pori kwa kiwembe umehola!

Narejea tena, kama unafanya JF ni sehemu ya kutmiana barua..kuna kitu kiaitwa Private Messaging..how about giving a try..?

Half truth! nimem refer Halisi kama mleta habari na sio kama muandishi wa article kama ulivyodai ktk post yako ya kwanza. Hilo la kama "ana authority" fulani ni 'uvumbuzi" wako tu. Hakuna ki twist words rudie post yangu na usome kwa makini tena.

Ok, sasa utakuwa na matatizo ya msingi kama unaweza kumjibu aliyeleta ujumbe badala ya aliyemtuma (mwandishi). All in all you are still going in cycles..
 
kanda2 said:
Na hapo ndipo kwenye utata, ooh yah u said it! due to obvious reasons.... well, kama wao wanaijua sana siasa fursa ya kufanya hivyo ipo kwa kupitia vyama vilivyo sajiliwa na sheria ya vyama. Tatizo wanataka kupeleka siasa mahala sio pake tena kwa waumini wao kwanza. Kwenye sheria wanasema haki sio tu itendeka bali pia ionekane inatendeka. Hivi hao maaskofu wakati wanawa elimisha waumini wao kwanza wale wasio waumini kwanza watarajie nini kutoka kwenye "elimu" hiyo? zaidi ya kuwa wachagueni waumini wenzenu.

Kwa utaratibu huu na ikiwa kila dhehebu litaanzisha elimu hiyo tunako elekea ni kwenye kubaguana kidini na hizi cheche ndio zitakuwa moto mkali

Ok sijui ulielewa nini niliposema for obvious reason..you probably misunderstood the whole issue kama unavyoonesha kushindwa bado ku-grasp topic nzima iliyopo mbele yetu. Obvious reason nimeiweka bayana kuwa kanisa kitu cha kwanza lazima lifanye kazi na watu walio tayari nao, na waumini wake ni ideal folks..pili ni kutokana na chuki za akina nyinyi haitegemewi watavifikia viunga vyenu, tatu ni logistics mazee..na nne ni kufanya kama chachu kwa jumuia nyingine kufanya kama wao kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili.

Kuelimisha wananchi kuhusu mambo mbalimbali ni jukumu ambalo limekuwa likifanywa na serikali ikishirikiana na washirika wa ki-maendeleo mathalan watu binafsi, mashirika binafsi na hata mashirika ya kimataifa..nia na lengo kuu ni kufanikisha mchakato wa upatikanaji wa viongozi bora na pia raia kujua haki na wajibu wao na kukuza mwako wao kuhusu kujichagulia viongozi bora..huo ndo msingi wa yote haya. Ila wewe kwa sababu ya chuki zako zilizookujaa mpaka kukutia upofu, nasikitika kusema kuwa itakuchukua a lifetime kujua this simplest of explanation.
 
Last edited:
Slogan ya kutochanganya dini na siasa imekuwa ikitumiwa vibaya kuwanyamazisha viongozi wa dini ambao ni vocal licha ya ufisadi unaoendelea serikalini. Ijulikane kwamba hawa ndo walio karibu zaidi na watu kuliko serikali kwa hiyo kuwajengea uwezo wa kuwa na kuchagua viongozi ni mojawapo wa majukumu ya vyombo vya dini. Ukweli ni kwamba taasisi pekee iliyobaki na ya kutegemewa inayoweza rudisha matumaini ya watanzania ni ya dini kama itasimamia inachokiamini katika kuelemisha waumini kuhusu kuwachagua viongozi wanaofaa. Walioko madarakani juhudi zao wanazielekeza kuwaridhisha watoto wao mikoba ya kisiasa. Huu ni WIZI MTUPU acha viongozi wa dini wachacharike.
 
Narejea tena, kama unafanya JF ni sehemu ya kutmiana barua..kuna kitu kiaitwa Private Messaging..how about giving a try..?

Ok, sasa utakuwa na matatizo ya msingi kama unaweza kumjibu aliyeleta ujumbe badala ya aliyemtuma (mwandishi). All in all you are still going in cycles..

Umekosea tena! ujumbe upo kwenye public ni haki yako na rukhsa kujibu tatizo linakuja kwenye uelewa, ndio maana nikasema mwenyewe atakuwa kaelewa lakini wengine kama wewe mnapata taabu.
 
Ok sijui ulielewa nini niliposema for obvious reason..you probably misunderstood the whole issue kama unavyoonesha kushindwa bado ku-grasp topic nzima iliyopo mbele yetu. Obvious reason nimeiweka bayana kuwa kanisa kitu cha kwanza lazima lifanye kazi na watu walio tayari nao, na waumini wake ni ideal folks..pili ni kutokana na chuki za akina nyinyi haitegemewi watavifikia viunga vyenu, tatu ni logistics mazee..na nne ni kufanya kama chachu kwa jumuia nyingine kufanya kama wao kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili.

Kuelimisha wananchi kuhusu mambo mbalimbali ni jukumu ambalo limekuwa likifanywa na serikali ikishirikiana na washirika wa ki-maendeleo mathalan watu binafsi, mashirika binafsi na hata mashirika ya kimataifa..nia na lengo kuu ni kufanikisha mchakato wa upatikanaji wa viongozi bora na pia raia kujua haki na wajibu wao na kukuza mwako wao kuhusu kujichagulia viongozi bora..huo ndo msingi wa yote haya. Ila wewe kwa sababu ya chuki zako zilizookujaa mpaka kukutia upofu, nasikitika kusema kuwa itakuchukua a lifetime kujua this simplest of explanation.

.... and for obvious reasons kwanini wasianzishe au wajiunge katika vyama ili wapate "kuandaa waumini" kwa uchaguzi 2010
 
Mazee una matatizo ya kimsingi ya uelewa.

Karibu kila unachoki-post unazidi kuonesha hili. Viongozi wa dini yeyote wanayohaki ya kama sehemu ya jamii ku-conduct kitu chochote kitakachohusisha jamii provided hawavunji sheria..sasa usiwapangie waingilie mlango gani wakati siye wewe uliyewatuma mazee..

Kilichobaki ni wewe mazee kuketi kitako na kutulia tuli wakati watu wanapractice haki zao za kikatiba mazee..Kama kila muelimishaji wa mambo ya uraia lazima aingie kwenye siasa sijui unaitoa wapi hii mazee..aarggh
 
Nadhani wewe ndie una matatizo ya uelewa. Its this simple kama wanataka siasa fursa hiyo ipo waingie kwenye siasa.

Upo hapo?

KIINI CHA MIGOGORO NI KUCHANGANYA DINI NA SIASA - SENDORO​

NA MARTIN MALERA
ASKOFU Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Elinaza Sendoro, amesema migogoro mingi ya kidini inatokana na kuingiza siasa katika dini hizo.
Askofu Sendoro alisema hayo jana, wakati akichangia mada ya mgogoro wa kikundi cha Wanamaombi na Kanisa Katoliki, mgogoro wa Dayosisi ya Pare na Mgogoro wa Dayosisi ya Meru katika kongamano la Dini na Demokrasia, linalofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Askofu Sendoro alisema katika mgogoro wa Dayosisi ya Pare, kuna Waumini wa Kanisa la KKKT, waliokuwa viongozi wa Serikali na baada ya kustaafu wakajiingiza katika uongozi wa dini na kuingiza siasa katika Kanisa hilo.

Alisema hata katika migogoro ya dini nyingine, chimbuko lake ni viongozi wa dini hizo kujiingiza katika masuala ya siasa.
Mbali na suala la siasa kuingizwa katika dini, Askofu Sendoro pia alisema migogoro mingi ya kidini ni ya siku nyingi na inapanuka kwa vile maamuzi yao hayako kisheria.
Alisema Kanisa au Msikiti unaweza kutoa uamuzi, lakini uamuzi huo haufuatwi kwa vile hauna mamlaka kisheria, inayotambulika na Mahakama.
Naye Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Pius Rutechura, alipendekeza iundwe Tume ya utatuzi wa migogoro ya kidini itakayojumuisha viongozi wa dini mbalimbali nchini. Pia alisema kuna haja ya kupanua wigo wa mazungumzo ya kidini kwa kuwakutanisha viongozi mbalimbali wa kidini. Alisema migogoro ya kidini ni kitu cha kawaida kutokea, lakini utatuzi wake uanzie ndani ya dini zenyewe kabla ya kutoka nje.
 
Unarudia kuleta hoja ileile ambayo nimekwisha ijibu kwenye hiyohiyo post uliyoinukulu..Kaazi kwelikweli.
 
Kwa sababu umeshindwa kuleta majibu mujarabu, sina budi kukupuuza..maana naona watu humu wanatumia mwamvuli wa u-Great Thinker kuleta mashudu yao..lakini tupo hapa kuhakikisha hoja zenye maana zinaprevail..

duh yaani mazee nawe ushajiona ni great thinker?kwa hoja gani hasa?bora mashudu unaweza kuwapa mifugo.unaandika saana lakini makapi makapi tu
haya endelea kujidanganya eti great thinker
 
Wewe una matatizo ya uelewa tena makubwa sana na ndio maana ulipoleta hoja nikakwambia uthibitishe ukaanza kurukaruka kama hayawani..ndio maana nikasema

nimekupuuza

Ila kama nilivyokwisha kusema, una uelewa finyu sana na ktk kushindwa hata kung'amua mantiki iliyopo kwenye post hii isiyozidi mistari 5 umerukia kusema eti najiita great thinker ..aarrhghh..

Hebu nieneshe wapi nimejinadi kama great thinker? wapi?

This is what i said

Kwa sababu umeshindwa kuleta majibu mujarabu, sina budi kukupuuza..maana naona watu humu wanatumia mwamvuli wa u-Great Thinker kuleta mashudu yao..lakini tupo hapa kuhakikisha hoja zenye maana zinaprevail..

Bua ha ha ha ..haya lete vioja zaidi..
 
Wakuu, Kanda2 na Abdulhalim,

Kwanza nimewapongeza wote kwa yote muloyasema kwa kuwa naona kama wote munazungumza lugha moja lakini hamuelewani na hilo naona si jambo jema hata kidogo kwenu, kwetu na kwa wana JF.

Kati ya muliyoyaweka humu, baadhi yanaweza kufaa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi, na mengine yanaweza kuvuruga mjadala mzima na kuanza kubishana badala ya kuangalia nyuma ya pazia ya hoja ya msingi.

Hapa ni lazima tukubaliane jambo moja ZITO, kwamba kila jambo unaweza kulitumia kwa manufaa ya wengi kulingana na mbinu za kimkakati ulizo nazo. JF inasimamia mapambano mapya ya ukombozi na kwa hili lazima tuitumie hoja husika kufanikisha mapambano husika. Rejeeni maelezo ya mkuu Mkandara.
 
Nimekusoma mkuu wangu.

So far sioni kama mjadala una matatizo yeyote..la muhimu tu ni kufikia lengo moja la kuwafikia wananchi elimu ya uraia, bila kuleta mikwaruzano isiyo ya lazima na wale wengine wenye kutokuwa na uelewa na jambo lenyewe wafanye hima kuutafuta ukweli badala ya kukalia tu ubishi usio na kichwa wala miguu.

Kwa kifupi, sioni tatizo la taasisi yeyote ya kijamii kutoa elimu ya uraia kwa kundi fulani ktk jamii, provided mamlaka husika za dola zinajulishwa na hakuna uvunjaji wa sheria au amani ..Nasimamia hili kwa sababu sijaona hoja ya msingi kulipinga hili.

Cheers.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom