MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
JK ninaweza kumpa 55% katika uongozi mpaka +70% kama binadamu, wakati BWM alistahiki 0.99% kama kiongozi na 0.01% kama binadamu.Rais Kikwete, hataki kuona damu inamwagika bila sababu za msingi unadhani ungekuwa utawala wa Mkapa, Chadema wangetangazwa washindi Arumeru yupo radhi watu wafe CCM washinde, mfano tuliona Zanzibar wakati CUF wana nguvu...JK tofauti kwenye ili, hana mapungufu yake mengine kama binadamu.
Mara nyingi tunakimbilia kuwakosoa watu kwa mabaya yao tu, bila ya kuangalia japo mema yake kidogo. JK kama binadamu ni mtu mwema, lakini kama mkuu wa kaya amezungukwa na wakorofi wengi na si kila mara ana kauli na maamuzi yake mwenyewe. Maovu mengi yanafanywa na watu wake yeye anayasikia tu, na kutokana na "umafia" na tabia yao ya kulindana inambidi anyamaze - huo ndio udhaifu wake.