Wapinzani Watamkumbuka Kikwete

poison

Member
Mar 5, 2008
79
32
My Take,

Kikwete ni dhahabu kwa upinzani,kwa ninavyomfuatilia sasa hivi kikwete kiundani anafurahi matokeo ya Arumeru, hakuwa anajihusisha sana kama Mwenyekiti just to put a statement there kwamba mnanihitaji , alipomchagua tuu Lubuva kuwa Mkuu wa Tume ya uchaguzi nikajua ana lake jambo, Lubuva ni kama Tido Mhando alipokuwa TBC, yeye na Jaji Kisanga wanaangalia sheria tuu na hawana political inclination

Bravo Kikwete kusoma alama za nyakati
 
hana lolote. Ni lazima wananchi walinde kura ndo washinde??? Nini hii manake?
 
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
DUUUUUUU Comrade wakati wewe unaona leo kesho na keshokuta mleta hoja anaona leo tu,swali zuri sana mleta hoja alikurupuka
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Atakumbukwa kwa mabomu na maji ya kuwasha kwa wapinzani pekee bila kusahau kupeleka FFU. Na Police kabla ya uchaguzi kama vita vile
 
Atakumbukwa kwa mabomu na maji ya kuwasha kwa wapinzani pekee bila kusahau kupeleka FFU. Na Police kabla ya uchaguzi kama vita vile

Kwa kweli hata mimi ntamkumbuka sana !!Katika uongozi wake,mie ndio nimeona sana magari ya maji ya kuwasha,askari wakitumia silaha za moto kwa raia,viongozi wakiumizwa(mfano Mwanza)n.k
 
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.

Rais wetu kigeugeu! lakini kama alivyosema Poison kama kachange sana! kama uzalendo wake uleeeee wakati mkuu wa sijui wa wilaya huko 19kweusi unamrudia! Nimemesikia juzi na mct kaongea poa na ni mara yangu ya kwanza kusikia hotuba ya JK yote mpk wa2 walinishanga!
Any ways kuishi vizuri siyo tija bali tija huja pale utakapoondoka! 2016 watakaokuwa hai watajua tu Kikwete alikuwa nani!!
 
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.

Jamaa ni mtu wa visasi ile mbaya au mmesahau ya Babu Seya.
Kama haitoshi muulizeni Masoudi Kipanya kisa cha yeye na Fina Mango kufukuzwa Clouds FM.
Kama haitoshi hata alipokuja kupata kipindi TBC JK akamfata Tido huyu mtu sitaki kumwona ndo chanzo cha Maisha plus kufa.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Swali zuri sana kwa mleta hoja.

Ili kusurvive CCM kama mwenyekiti ilibidi afungie macho mambo mengi tuu , alishinikizwa kumtoa Tido Mhando kutokana na siasa za CCM , lakini akawajibu kwa Lubuva , anamjua Lubuva vizuri sana kwamba hata leta upendeleo wa CCM, kamchagua akijua hilo, Siasa za CCM ni ngumu sana kwa Raisi kuwa na maamuzi yake mwenyewe

Hawezi kukemea waziwazi mambo mengine yanayoamuliwa na chama anarudi taratibu a solder is always a solder
 
Jamaa ni mtu wa visasi ile mbaya au mmesahau ya Babu Seya.
Kama haitoshi muulizeni Masoudi Kipanya kisa cha yeye na Fina Mango kufukuzwa Clouds FM.
Kama haitoshi hata alipokuja kupata kipindi TBC JK akamfata Tido huyu mtu sitaki kumwona ndo chanzo cha Maisha plus kufa.

Aisee...!!!
 
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.

Tido, hakutolewa bbc na JK mkataba wake ulimalizika acha kupotosha kijana.
 
Kuna siku za utotoni nilitaka kupigana na jamaa mmoja hivi, kwa hio tukawa tunawekekeana visasi tu sasa kuja kusikia jamaa alivyokuwa katili na kwamba hajawahi kupigwa nikaamua kulegeza uzi na kuanza kutoa visingizio kibao, mara jamaa ni rafiki yangu mnanichonganisha tu, mimi sio dhaifu bhana mie ngangari ila jamaa namuheshimu tu.....mwisho jamaa akwa ndio kiduume, nikabakia nabwatuka, yule ningeamua ningempiga
 
Rais Kikwete, hataki kuona damu inamwagika bila sababu za msingi unadhani ungekuwa utawala wa Mkapa, Chadema wangetangazwa washindi Arumeru yupo radhi watu wafe CCM washinde, mfano tuliona Zanzibar wakati CUF wana nguvu...JK tofauti kwenye ili, hana mapungufu yake mengine kama binadamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom