Wapinzani Watamkumbuka Kikwete

Rais Kikwete, hataki kuona damu inamwagika bila sababu za msingi unadhani ungekuwa utawala wa Mkapa, Chadema wangetangazwa washindi Arumeru yupo radhi watu wafe CCM washinde, mfano tuliona Zanzibar wakati CUF wana nguvu...JK tofauti kwenye ili, hana mapungufu yake mengine kama binadamu.
JK ninaweza kumpa 55% katika uongozi mpaka +70% kama binadamu, wakati BWM alistahiki 0.99% kama kiongozi na 0.01% kama binadamu.

Mara nyingi tunakimbilia kuwakosoa watu kwa mabaya yao tu, bila ya kuangalia japo mema yake kidogo. JK kama binadamu ni mtu mwema, lakini kama mkuu wa kaya amezungukwa na wakorofi wengi na si kila mara ana kauli na maamuzi yake mwenyewe. Maovu mengi yanafanywa na watu wake yeye anayasikia tu, na kutokana na "umafia" na tabia yao ya kulindana inambidi anyamaze - huo ndio udhaifu wake.
 
Rais Kikwete, hataki kuona damu inamwagika bila sababu za msingi unadhani ungekuwa utawala wa Mkapa, Chadema wangetangazwa washindi Arumeru yupo radhi watu wafe CCM washinde, mfano tuliona Zanzibar wakati CUF wana nguvu...JK tofauti kwenye ili, hana mapungufu yake mengine kama binadamu.
nafikiri ulimaanisha "ana" hapo kwenye red.
anyway all in all kikwete ni mjanja sana, wala sio kama mnavyomfikiria, anajua kutumia watu na kisha kuwapoteza...hata lowassa nae alitolewa kafara, hataki mtu yeyote awe juu yake, kina kombani walisema katiba mpya haipo, akawageuka, muone pinda alivyopoteza heshima...hata ccm walipitisha mswada, akasaini, then akaurudisha bungeni, kuwaridhisha wapinzani, jamaa kwa kifupi ana "use and throw" theory
 
Tido, hakutolewa bbc na JK mkataba wake ulimalizika acha kupotosha kijana.


user-offline.png
chatu dume

31st March 2012 12:37
#1
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 27th February 2011
Posts : 5,423
Rep Power : 1317
Likes Received468
Likes Given2



[h=2]
icon1.png
Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni[/h]
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.​
 
Rais Kikwete, hataki kuona damu inamwagika bila sababu za msingi unadhani ungekuwa utawala wa Mkapa, Chadema wangetangazwa washindi Arumeru yupo radhi watu wafe CCM washinde, mfano tuliona Zanzibar wakati CUF wana nguvu...JK tofauti kwenye ili, hana mapungufu yake mengine kama binadamu.[/QUOTE

Arusha Uchaguzi wa Meya walikufa Panya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom