NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 638
Hi! Wakuu,
Tatizo la kupiga chabo linazidi kushika hatamu siku hadi siku, imefikia pointi sasa hadi wapiga chabo wanazamini pambano kwa mfano uliotolewa na clouds FM kwenye kipindi cha Power BreakFast last wk...."kulikuwa na mtu amechukua ma...ya akaenda nae rum alivyofika kabla ya kuanza mtanange binti akadai malipo kwanza ikawa imepungua sh. 50 tu, na jamaa akakunguta suruale na akakosa wale wapiga chabo wakaona isiwe issue wakamtupia sh. 50 iliwafaidi.."
Nilivyouliza watu kwa nini watu wanapenda sana chabo walisema ni njia ya baadhi yao kuwa turn on wakitoka hapo ndio wanaenda kumaliza wao au kijimaliza/kujichua.
Sijui kama linaukweli wowote mwenye data zaidi nijuze kwa nini watu wanatembea na ngazi usiku kisa Chabo????