Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?

Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!

Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
Mkuu kuna shida gani? Uwepo wake unakuadhiri ni mkuu? Huoni mnyororo wa ajira wanayotengeneza? Huoni urahisi wanaoleta kupunguza watumiaji kusafiri umbali mrefu?
 
Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?

Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!

Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
Unajua maana ya franchise,kuna makampuni ya mafuta kama una location nzuri yanakujengea kwa mkopo,kwa kushirikiana na bank,wao wanakupatia training ila mafuta shurti ununue kwao,kama una eneo zuri sema nikuunge
 
Huu no ujenzi pekee au pamoja na mtaji?
Ujenzi tu Mkuu gharama hizo ni ukiwa unajenga mwenyewe ila ukiwapa kampuni ya ujenzi Basi hiyo itafika I bilion kwa kituo kizuri chenye hivyo vitu nilivyovitaja sema returning yake ni ya haraka Sana mafuta yana faida Sana mzunguko ni mkubwa Sana
 
Lakini kuna speculation kwamba pengine huo ni mwanya ambao unatumiwa na baadhi ya watu "kutakatisha" fedha chafu.Je,hii teresi haiwezi kuwa kweli?
 
Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?

Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!
Haya ndio maendeleo, baadhi kama vituo vya TotalEnergies vinajengwa kwa mikataba ya franchise za COCO, CODO na DODO Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

Vituo vya mafuta ni fursa ya ubilionea! Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

Watanzania wamiliki wa maeneo pembezoni mwa barabara, wanayauza kwa pesa mbuzi, na kuendelea na umasikini wao, huku wajanja wanapiga bingo nene za kuwa mabilionea!, Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa Millionaire au Bilionea?. Usiuze Eneo Lako!. Total Kutengeneza Ma Milionea na Ma Bilionea 100 wa DODO!.

P
 
Unajua maana ya franchise,kuna makampuni ya mafuta kama una location nzuri yanakujengea kwa mkopo,kwa kushirikiana na bank,wao wanakupatia training ila mafuta shurti ununue kwao,kama una eneo zuri sema nikuunge
Mimi ninalo mkuu lina ukubwa wa ekari mbili barabara kuu ya kigoma-Tabora
 
Back
Top Bottom