Wapi Utategeka, Mitego hii bana

285149_164242623714064_1793931254_n.jpg

Mbuzi Mzee!!!mbona hiyo kama singland yako!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmm, huyo kimwana yuko pande za Chanika Dar, ila mimi mtu wake wa karibu (shangazi) niko Katavi kikazi narudi baada ya mwezi mmoja, hivyo kama wataka mambo marefu (ndoa), nifuate huku Katavi. Kama wataka mambo mafupi (uhusiano reja reja), hayo siyawezi, mfuate huko kwenye facebook mutaongea mambo yenu.

Mimi nakutaka wewe Aunt mtu,maana mimi sipendi kabisa hivi visista du.Ila tafadhali uwe umeenda huko katavi kikazi kweli sio mwenyeji wa huko,maana watu wa huko tunawajua wenyewe.
 
Mimi nakutaka wewe Aunt mtu,maana mimi sipendi kabisa hivi visista du.Ila tafadhali uwe umeenda huko katavi kikazi kweli sio mwenyeji wa huko,maana watu wa huko tunawajua wenyewe.

Makubwa, yamekuwa hayo tena!!! Katika umri huu wafikiri nipo nipo tu, si rahisi, ninaye wangu!!!!
 
Mmmmmm haya yangu mimacho tuu....ukitegeka umeisha kazi yako!una Mark X?utaulizwa!!
 
Back
Top Bottom