Wapi PSPF; LAPF?

SJUMAA26

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
607
167
Wadau, hivi PSPF na LAPF wamesha-shortlist watu kwa ajili ya usaili? Karibia mwezi sasa umepita bado wako kimya. Mwenye habari atujuze.
 
Wadau, hivi PSPF na LAPF wamesha-shortlist watu kwa ajili ya usaili? Karibia mwezi sasa umepita bado wako kimya. Mwenye habari atujuze.

mkuu hyo ishu kila mtu anashangaa wala hauko peke yako, ongeza imani utakuja ona miujiza.
 
wadau kuweni makini kuna matapeli wanapigia watu simu na kuwaomba fedha ili
kushort list majina.Kwa taarifa za ndani ni kuwa hao ni matapeli wenye nia ya kuwalaghai job hunters.Upigaji huo wa simu unafuatia aptitude test ya PSPF iliyofanyika 1 June 2013!!!
 
Hee??!! kwa hiyo walishaita????????
 
hata mimi walinipigia wakataka niwatumie laki nne ili niitwe kwenye usaili kwa mara ya pili na kwa madai yao ni kua nimefanya vizuri sana kwenye aptitude test ila watu ni wengi sana sasa inabidi niwape hiyo amount ili niwe special case.. mweeeeh!
 
hata mimi walinipigia wakataka niwatumie laki nne ili niitwe kwenye usail kwa madai yao ni kua nimefanya vizuri sana kwenye aptitude test ila watu ni wengi sana sasa inabidi niwape hiyo amount ili niwe special case.. mweeeeh!
Mwee! Na wewe ukawapa?
 
Back
Top Bottom