Nahitaji kijana mwenye taaluma ya uhasibu

Ivan Stepanov

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
4,903
15,998
Habar ya jioni wadau. Kindly fall through ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Anahitajika:

Kijana mwenye taaluma ya uhasibu kwa ajili ya kufanya kazi.

Sifa:
  • Kijana wa kiume, kulingana na mazingira ya kazi na uwajibikaji husika.
  • Elimu kuanzia ngazi ya Diploma
Uzoefu

- Atleast awe na background ya kufanya kazi za kihasibu na na uelewa na uzoefu wa kutosha katika masuala yanayohusiana na Reconsiliation linapokuja suala mamlaka ya mapata TRA

- awe conversant kuhusu matumizi ya ICT na information system katika utunzaji wa data

Kazi husika.
- Anahijika kufanya kazinkama muhasibu shuleni (school bursar) ingawa atahusika na majukumu mengine kulingana na upana wa kazi.

DAR ES SALAAM

NB maelezo mengine yatatolewa baada ya shortlisting..

Please kama uko interested send your CV through

socialforumn@gmail.com

Ahsante
 
Hivi unajua wahasibu wanaume wengi kukuibia ni rahisi kuliko wa kike ambao kidogo huwa na hofu.

Ngoja niwastue ndugu zangu,naomba nikupe mdogo wangu ,ni fresh graduate ila ataweza.


Mimi kwenye usafi usinisahau Mkuu.
Link me up..mpe mail hiyo hapo
 
Back
Top Bottom