Nina degree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II, salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu nikajiunge na JWTZ kwa kupitia JKT kwanza 6 month, naomba ushauri wapi pazuri zaidi. ile afisa mtendaji nimeripoti nikasign contract ila nkambiwa nirudi home hela ikitoka wataniita kuanza kazi, ila mpaka sasa nahesabika niko kazini.