ninadegree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu jeshini mkao mkuu upanga niku nimekuwa selected kujiunga na jwtz kupitia jkt 6 month hii ni baada barua niliopeleka huko since april 2012. naomba ushauri wakuu wapi pazuri kwa graduate ambao hatuna exprience.