ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,577
- 44,817
Habarini za majukumu wakuu naombeni mniambie anayejua duka linalouza uniform kama zinavyoonekana pichani hapo
Ninempigia amesema Hana Kwa sasaKuna dada anafanya hizi
Mcheki 0718330000
Onhoo jaribu kkoo kule kwenye hardware japoNinempigia amesema Hana Kwa sasa