Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Naelewa mwisho wa siku labda itanibidi niitoe hii mimba ila nahitaji kujua kama kuna njia yoyote ya kuweza kujua DNA ya mtoto kabla ya kuzaliwa, tayari najua blood group ya mume wangu na ya huyo mtu wangu wa nje, Je wanaweza kunichekia blood group ya mtoto bado akiwa tumboni wakaniambia ni yupi ndio baba?
Pendo
Hapa unaonyesha ulivyo mbinafsi nadha hufai kuolewa kabisa maana unawaza majaliwa yako tu; si ya mtotoaliyeko tumboni wala hata si ya masikini mumeo wala huyo baba na watoto wake 8!
JF sistaz tusikie mnasemaje kuhusu ili?