Wapi naweza fanya DNA hapa DAR?

Naelewa mwisho wa siku labda itanibidi niitoe hii mimba ila nahitaji kujua kama kuna njia yoyote ya kuweza kujua DNA ya mtoto kabla ya kuzaliwa, tayari najua blood group ya mume wangu na ya huyo mtu wangu wa nje, Je wanaweza kunichekia blood group ya mtoto bado akiwa tumboni wakaniambia ni yupi ndio baba?

Pendo

Hapa unaonyesha ulivyo mbinafsi nadha hufai kuolewa kabisa maana unawaza majaliwa yako tu; si ya mtotoaliyeko tumboni wala hata si ya masikini mumeo wala huyo baba na watoto wake 8!

JF sistaz tusikie mnasemaje kuhusu ili?
 
Heh mambo haya bwana... Wengine wana uhakika na baba watoto na wanaachwa solemba na hao wanaume, wengine makusudi wanacheza musical chairs halafu uwaze kumtoa kiumbe asiye na hatia.

2 wrongs do not make a right. Awe mweusi au mweupe - take responsibility that will make you a woman of worth.
 
mnhhhh...hapo patamu dada yangu....mie nakushauri yafuatayo
1:- kama umesoma kidooogo biolojia sio lazma mtoto azaliwe akifanana 100% na baba yake(ndio maana baba na mama weusi tiii anatokea albino....vivyo hivyo baba mzungu mama mswahili hutokea pia mtoto mzungu...au baba akiwa mswahili mama mzungu akazaa mzungu inamaana mama amemegwa na wazungu wenzie?
2:- kibongobongo KITANDA HAKIZAI HARAMU....mzungu inabidi akubali matokeo...hata akija kupima dna baadae ajiandae kuwa baba mlezi

Dada huyo anakupoteza mtu ikiwa damu si yake atajua tu hata kama wewe ni mweusi na mume ni mzungu.

Na hiyo ya kitanda hakizai haramu pia ni ya enzi ya mwalimu kwani hivi sasa ndio maana ikawepo hiyo DNA test
 
Yaleyale ya wanawake kutotaka kujitegemea na kuwa magolikipa na kuishia kuolewa na wazungu ili waukate na kutakata. Sasa mama hilo tibwili unalo.
Hivi haya ndiyo maendeleo? Mtu anatutangazia umalaya wake na sisi hatuoni taabu. Tunaona kuwa ni mtu asiye na tatizo. Au ni kwa sababu hapa mtu haonekani sura yake? Hayo aliyotueleza angeweza kuyasema uso kwa uso kwenye hadhara ya watu? Mimi nasema changudoa siyo lazima ajianike mtaa wa Ohio. Na huyo ni changudoa. Lazima atoe mimba hili biashara isidode.
 
Mmh ndugu stori yako..ngumu.why did you cheat ur husband?au ndo ulikuwa unatafuta huyo mtoto?nenda Muhimbili National Hospital or Aghakan ot Hindul Mandal na nk..
 
mwanamke hebu zaa mtoto kwanza kutoa mimba ni dhambi pia unaweza usipate mtoto maishani mwako ..
usitoe madame zaa ..pia jaribu kufikilia mawazo ya kujitegemea sio kuwa tegemezi always
 
Dadaa y did u have to cheatc unakumbuka kwamba kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe?ulivyokuwa unacheat uliwaza nn?kama hukutaka mimba y ddnt u use protections?Y dd u get married while u knw there are unfinnished business?si unajua mwisho wa ubaya ni aibu?unalo bb,tena limekuganda,tena naomba uzae mweusiiiiiiiiiiii kama idd amini thats our colour and am very proud of it!!!!!!!!
 
Ukijifungua mtoto wa kiume, na mme wako akakufukuza, huyo mtoto niletee mimi. ila sheria za TZ hazijaruhusu kupima DNA hovyo hovyo mpaka upitie mahakamani na kuwe na mgogoro wa kifamilia.l
 
Huyo mtoto si wa mumeo na wala usitake kumuua kwa tamaa zako.

Dar-es-salaam hamna DNA, na hata kama ipo hawawezi kumpima mtoto ambaye hajazaliwa.

Colin Powell angekwambia "You break it, you own it"

Kama ulitaka ku jump around kwa nini ulikimbilia kuolewa? Au unatuona tusiotaka kuoa/ kuolewa wajinga?

Nachukia sana ninapoona watu wanataka heshima ya ndoa bila ya kutunza misingi yake.

Hypocrisy.

Its sad!!! Yaani unajua mtu ana wake wawili, watoto nane, na She nae bila huruma ya hao wanawake wenzake anakwenda peku hadi anazaa>>>!!!!???

Eniwei, unaweza kupima DNA kwa mkemia mkuu, ila sijui advancement ya technicians/technique wanayotumia... au aende Nairobi wanaweza kumsaidia hata kama mtoto bado hajazaliwa
 
We mlupo sikia, Kupima DNA kwa mtoto ambaye hajazaliwa sidhani kama TZ inawezekana, ila Pale Ocean road Hospital ,kuna kitengo kinacho shughulika na masuala ya DNA.
kwa malipo ya laki moja, unapata majibu baada ya week 6, yani laki moja kwa kila sample na inatakiwa sample 3, yani yako , ya mtoto na ya baba, kikubwa kinachotakiwa ni kati ya hivi , barua toka mahakamani , Utawi wa jamii au barua toka kwa a lawyer, maana hii ni kuhakikisha hakutatokea mtafaruku kama majibu yakija sivyo.

Tatizo una weza wekwa kwnye list maana list ni kubwa sana na mara nyingine una weza ambiwa chemicals zimeisha inabidi usubiri ,so vuta moyo mama, subiri mzigo huo ukitoka na dhani hauta kua na haja sana yakujua baba ni nani since ume lala na wanaume wawili ambao mmoja ni mzungu so unaweza kua huhitaji DNA, maana mtoto akitoka halfcast basi umesha jua baba ni nani.
 
Back
Top Bottom