Wapi Mwanasiasa Mkongwe Hamad Rashid?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Tangu asasambuliwe kwenye mdahalo na mwenyekiti wangu (FM), bwana huyu aliyejibatiza kisifa cha mwanasiasa mkongwe sijamsikia tena.

tatizo la kurudi ccm ndo hilo. ukihama ccm, siku moja ukarogwa ukarudi watakufanya uwe hata mpiga deki.

wapi mwanasiasa mkongwe? wapi hamad rashid? wapi mzee wa "process ya siasa ni mchakato"?

nauliza wapi?
 
Sabala kheir yaheee wajisikiaje na hali AMIII.
Wan' tafuta mie yahe niko navuna karafuu sasa hivi niko kisiwaniiiiii -----Pemba
karibu 'nhogo kwa dagaa amii.
na sikukuu hii ya mapinduzi takuwa zangu N"TAMBWE kwa maaalimu karibu sana yahee. Ishaallah Tukijaaliwa.

"The trouble ain't that there many fools, but the lightning ain't distributed right" Mark Twain
 
si alijidai mwanaharakati kumbe ni mnafiki wa kutupwa sasa atakula unafki wae...........................pambaaaaf sake.
 
Back
Top Bottom