Wapi Mhe. Dr. Chami, MP wa Moshi Vijijini?

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Mheshimiwa Mbunge kwanza pole na "upepo wa kisiasa" uliokukumba 2015. Huyu mbunge wetu wa sasa hajihusishi na chochote jimboni. Tunahitaji urudi 2020 kutuletea maendeleo.
 
Mheshimiwa Mbunge kwanza pole na "upepo wa kisiasa" uliokukumba hivi karibu,wakati unagombea ubunge jimbo la Moshi Vijijini ulituahidi mengi sana ikiwamo bara bara ya lami ikiwamo ile ya kuanzia KIbosho shine mpaka Umbwe na kuendela lakini baada ya kupata ubunge umetusahau mkuu wetu. AU HUNA MPANGO WA KUGOMBEA TENA 2015? MAANA KWA MWENDO HUU unawapa nafasi CHADEMA kuchukua JIMBO. ZAIDI TUNAKUOMBA KAMA WAPIGA KURA WAKO ANGALAU UJIHESHIMU KIDOGO ILE KULEWA TILA LILA PALE SUNGU CHINI BAR unatutia aibu. Kiongozi ni mfano wa kuigwa na jamiii si kulea tila lila na kuanza kubwabwaja ovyo ZAIDI mrudie mke wa Ujana wako achana na hao wadada wanakushushia P yako Mheshimiwa mbona wewe ni mtu msomi, mshika dini lakini unafanya mambo yasiyeleweka??? ZINGATIA USHAURI VINGINEVYO UBUNGE NA STATUS YAKO KWENYE JAMII ITATOWEKA.

Duh! napita tu
 
Amalizie kwanza ile barabara ya kibosho -kirima ndio mambo mengine yafuate la sivyo kibarua chake kitakuwa kigumu 2015
 
Sidhani kama huyu ni mbunge wako, kwa frustration anayokabiriana nayo sasa sidhani kama watu wake mwenyewe wanaweza kuanza kumsimanga namna hii.
 
Sidhani kama huyu ni mbunge wako, kwa frustration anayokabiriana nayo sasa sidhani kama watu wake mwenyewe wanaweza kuanza kumsimanga namna hii.[KWANN ASIAMBIWE UKWELI? HATA KAMA YUKO KATIKA HALI NGUMU KISIASA SISI WAPIGA KURA WAKE INATUHUSU NINI? TUNACHOTAKA ATEKELEZE AHADI ALIZOTOA IKIWA NI PAMOJA NA KIWANDA CHA KUZINDIKA KAHAWA NA NDIZI.
 
Chami Pole sana mkuu. kujikwaa siyo kuanguka..........Like the sun, you will rise again!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom