wapi K'moto bomba wadau wa Arachuga?a

Duh wanaArusha mnaniangusha wote mmeshindwa kumsaidia U_S.

Mbuzi katoliki wa ukweli anapatikana Sekei ulizia sehemu inaitwa Apache.
 
Kimekuwa libaya tena??hila kuna pub kabla ya godys kuna vidada vizuri vinauza km sema nimesahau panaitwaje

pub la monie hapo ndugu ila hakuna kitimoto kuna mbuzi na kuku.Halafu spare me,kuna vidada lakini sio vizuri
 
Duh wanaArusha mnaniangusha wote mmeshindwa kumsaidia U_S.

Mbuzi katoliki wa ukweli anapatikana Sekei ulizia sehemu inaitwa Apache.

Dah! Mkuu ngongo wewe kweli ni mtaalamu wa vichochoro nimekukubali, coz niko hapa pande za Apache nakamua hii kitu, imetulia ni balaa! Big up sana mkuu kwa kuniongezea maujuzi!
 
naomba nijibu kichwa cha habari nisijibu mwili wa habari. kitimoto safi inapatikana banana ukonga darisalama. Ile sehemu kwa sasa ni maarufu kama KITIMOTO PLAZA
 
hunters..., sakina, njia ya kwnda 2000, kuna dada mkenya pale anaitwa aziza au halima(jina lisikutishe)...,
 
JF imejaa videmu vibayaaaa kwa sura na vina vikwapa na m'ba mpk makwapani. Hivi kujishaua ndio kutawafanya muolewe au?!

Huyu kidume kauliza juu ya kiti moto na nafikiri alieleweka lkn kwa kuwa swali lake halina muelekeo wa kuwatongoza basi basi kukakucha:

Wa kwanza:
Kichwa cha habari kinauliza wapi utapata. . .
Mwili wa habari unasema Arusha haipatikani na kumalizia na swali.
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.

Wa pili:
nimeifungua kwa mbwembwe ili nimuelekeze nilichokutana nacho kimenipa usingizi
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikana

Wa tatu:
sasa heading na alichoandika ndani vinaendana kweli?basi na mimi atakuwa ameniacha kama lizzy
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.

Wewe mwenye miguu ya kushoto ndio huna adabu kabisa. Hiki kingine chenye avatar ya kuingiza mkono kwenye joto nakasamehe bure maisha ni magumu yanakiendesha mbio, ila huyu wa kufuata mkumbo namsikitikia kwani hawa anaowafuata mambo yao ni makubwa kuliko uwezo wake wa kuiga.
 
JF imejaa videmu vibayaaaa kwa sura na vina vikwapa na m'ba mpk makwapani. Hivi kujishaua ndio kutawafanya muolewe au?!

Huyu kidume kauliza juu ya kiti moto na nafikiri alieleweka lkn kwa kuwa swali lake halina muelekeo wa kuwatongoza basi basi kukakucha:

Wa kwanza:
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.

Wa pili:
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikana

Wa tatu:
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.

Wewe mwenye miguu ya kushoto ndio huna adabu kabisa. Hiki kingine chenye avatar ya kuingiza mkono kwenye joto nakasamehe bure maisha ni magumu yanakiendesha mbio, ila huyu wa kufuata mkumbo namsikitikia kwani hawa anaowafuata mambo yao ni makubwa kuliko uwezo wake wa kuiga.

u need prayers
 
si ndo kama wewe sasa mkuu? manake bandiko la mleta mada linaeleweka vizuri, japo ni kwa sentensi moja tu ambayo we imekuacha porini, haha!

una akili sana mkuu.
I wish ungekuwa karibu nikupe ofa ya soda.
 
JF imejaa videmu vibayaaaa kwa sura na vina vikwapa na m'ba mpk makwapani. Hivi kujishaua ndio kutawafanya muolewe au?!

Huyu kidume kauliza juu ya kiti moto na nafikiri alieleweka lkn kwa kuwa swali lake halina muelekeo wa kuwatongoza basi basi kukakucha:

Wa kwanza:
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.

Wa pili:
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikana

Wa tatu:
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.

Wewe mwenye miguu ya kushoto ndio huna adabu kabisa. Hiki kingine chenye avatar ya kuingiza mkono kwenye joto nakasamehe bure maisha ni magumu yanakiendesha mbio, ila huyu wa kufuata mkumbo namsikitikia kwani hawa anaowafuata mambo yao ni makubwa kuliko uwezo wake wa kuiga.

yaani wewe mse.nge (hapa imetumika kama sifa) nakukubali tangu ile post yako kuhusu kuchakachuliwa matokeo ya Form IV...
Ungezaliwa Butiama ungekuwa Nyerere fo sho!
Vidada vya humu vinajifanya vina premium life kweli.
Kuna mdau leo kaleta thread kuhusu qopo la chooni, eti vikajidai vinasikia kinyaa.
Inakera?
 
Back
Top Bottom