wapi K'moto bomba wadau wa Arachuga?a

Kichwa cha habari kinauliza wapi utapata. . .
Mwili wa habari unasema Arusha haipatikani na kumalizia na swali.
 
inapatikana Moshi mjini
ushasema hiyo mambo haiko arachuga

ndio, ni kweli
 
si ndo kama wewe sasa mkuu? manake bandiko la mleta mada linaeleweka vizuri, japo ni kwa sentensi moja tu ambayo we imekuacha porini, haha!

sasa heading na alichoandika ndani vinaendana kweli?basi na mimi atakuwa ameniacha kama lizzy
 
Back
Top Bottom