wapi kigwangwala wapi january ?

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
Kweny bunge hili sijawasikia machachar ya wabunge hawa. au ni vile bunge hili limekuwa la kutunga sheria zaid au hawazijui. umaaruf umewatosha au wamezibwa midomo
 
Kigwa alishapewa za uso na hawa ghasia kwamba jina lake limeandikwa kwa chaki, sasa hivi kaufyata chadogi!!
 
Hapa ndiyo nimeona uviraka wa Nchemba na Lusinde. Wapo kwaajili ya Fitna tu. Ule usemi wa kusema wabunge vijana wana mitazamo chanya mipya, uchunguzwe upya hasa kwa chama Tawala. BUNGE hili litakuwa kipimo kizuri cha kuchekecha wawakilishi weru 2015.
 
Back
Top Bottom