Huyu dada kutoka Arusha nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo za injili, hasa ile albamu yake ya kwanza iliyo na wimbo wa "Habari Njema"
Hivi kwa sasa yupo wapi maana hasikiki kabisa..
niliweka post yake hapa kuhusu uhusiano wake wa ki mapenzi na mwanasiasa mmoja maarufu lakini mods waliichinjia baharini. nadhani ni ndugu wa mmoja wao maybe!
niliweka post yake hapa kuhusu uhusiano wake wa ki mapenzi na mwanasiasa mmoja maarufu lakini mods waliichinjia baharini. nadhani ni ndugu wa mmoja wao maybe!
Hili swali lingeulizwa asubuhi nadhani ningekuja na jibu maana leo asubuhi nilikuwa na mume wake maeneo ya East Africa Hotel na tulibadilishana mawili matatu.
Hili swali lingeulizwa asubuhi nadhani ningekuja na jibu maana leo asubuhi nilikuwa na mume wake maeneo ya East Africa Hotel na tulibadilishana mawili matatu.
Iweke tena hiyo post..
beatrice mbona yupo na alihojiwa na Chacha Maginga TBC na ametoa album yake mpya!
Mwezi wa kumi na moja kazindua dvd yake mpya pale naura mh. Maige akuwa mgeni wa heshima dada anaendelea na huduma mengine niyaache moyoni.
itachinjwa tena na mods wenu hawa. ila kilikuwa kisa cha kusikitisha sana