Wapi Beatrice Muhone...

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Huyu dada kutoka Arusha nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo za injili, hasa ile albamu yake ya kwanza iliyo na wimbo wa "Habari Njema"
Hivi kwa sasa yupo wapi maana hasikiki kabisa..
 
da! Mi mwenyewe natamani sn kusikia updates zake mwenye nazo azimwage basi ili tujue moja.
 
Hili swali lingeulizwa asubuhi nadhani ningekuja na jibu maana leo asubuhi nilikuwa na mume wake maeneo ya East Africa Hotel na tulibadilishana mawili matatu.
 
niliweka post yake hapa kuhusu uhusiano wake wa ki mapenzi na mwanasiasa mmoja maarufu lakini mods waliichinjia baharini. nadhani ni ndugu wa mmoja wao maybe!
 
Huyu dada kutoka Arusha nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo za injili, hasa ile albamu yake ya kwanza iliyo na wimbo wa "Habari Njema"
Hivi kwa sasa yupo wapi maana hasikiki kabisa..

Nilikuwa namwona Arusha 2010 kwenye Semina za Mwakasege uwanja reli Pale Arusha...nilivyomwona ni tofauti na nilivyokuwa namfikiria 'mtakatifu' alikuwa anapiga Misuruali ya kutaiti ile mbaya na ukichukulia from behind she was big like an elephant, halafu akawa kama anataka publicity flan, coz wasanii wachanga walipokuwa wanapofomu alikuwa anajishebedua eti anaenda kuwatuza loh ilikuwa aibu
 
niliweka post yake hapa kuhusu uhusiano wake wa ki mapenzi na mwanasiasa mmoja maarufu lakini mods waliichinjia baharini. nadhani ni ndugu wa mmoja wao maybe!

dah kweli wanasiasa hawaachi kitu wanapitia hadi mtumishi wa bwana! Loh
 
Hili swali lingeulizwa asubuhi nadhani ningekuja na jibu maana leo asubuhi nilikuwa na mume wake maeneo ya East Africa Hotel na tulibadilishana mawili matatu.

It is not late we still need to know please, you can re-post next time
 
hata mim nikipita pale nitamuuliza....
Hili swali lingeulizwa asubuhi nadhani ningekuja na jibu maana leo asubuhi nilikuwa na mume wake maeneo ya East Africa Hotel na tulibadilishana mawili matatu.
 
Da kweli shetani ana nguvu, tusimsakame kama kweli hayo yametokea badala yake tumwombee kwa Mungu , neema ya bwana imwangazie tena!
 
Mwezi wa kumi na moja kazindua dvd yake mpya pale naura mh. Maige akuwa mgeni wa heshima dada anaendelea na huduma mengine niyaache moyoni.
 
Kweli ile post imepotea wapi ? Ilikuwa tamu sana naona wameshaiingiza chaka.
 
beatrice mbona yupo na alihojiwa na Chacha Maginga TBC na ametoa album yake mpya!
 
alitoa album mwaka jana mwez wa kumi uniongoza yaitwa. Nilikuwa namkubar sana tangu yupo kwenye ile album shangilie mwaka 98.
 
Mengine yapi umeacha moyoni? Tujuze
Mwezi wa kumi na moja kazindua dvd yake mpya pale naura mh. Maige akuwa mgeni wa heshima dada anaendelea na huduma mengine niyaache moyoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom