halafu kila siku habari ndo hiyohiyo kwani hataakiwa mtu mmoja tatizo nini jamani!The best thing I can say to you guys: Ashadii is not FaizaFoxy. Those who know, know this.
halafu kila siku habari ndo hiyohiyo kwani hataakiwa mtu mmoja tatizo nini jamani!The best thing I can say to you guys: Ashadii is not FaizaFoxy. Those who know, know this.
halafu kila siku habari ndo hiyohiyo kwani hataakiwa mtu mmoja tatizo nini jamani!
tatzo lipo tena kubwa.Hata mi sijui tatizo liko wapi.
tatzo lipo tena kubwa.
Well said!The best thing I can say to you guys: Ashadii is not FaizaFoxy. Those who know, know this.
Ahahahaha!!Ndio, sio mimi!
Hali yangu kama yako, wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?Uhali gani bi Faiza?...
Kweli kabisa nilipoteapotea, nna wageni wa June July. Mgeni njoo mwenyeji apone.ff pia alikuwa kapotea ila kwenye hii sredi ya kutafutwa ashadii katokea ghfla...?????Kuna hisia znanambia kitu hapa bt ngoja nthibitishe kwanza..
"Wewe" ndio nani? FaizaFoxy au Ashadii?aya maneno na ww unayasikia?
FFU ni Field Force Unit, mimi aidha FF au FaizaFoxy, Ashadii ni equal na Ashadii. Wacha dhanna, si nzuri.mkuu hapa hakuna ishu ya michongo ya feza,ishu ni kwamba shiiii.. Ashadii iz equal to nanii naniii naniiii FFU.
Tell them 3D.The best thing I can say to you guys: Ashadii is not FaizaFoxy. Those who know, know this.
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
mhadhili umeliona hilo eeh.Well said!kwangu mimi yoyote ambae anashindwa kumtafautisha FaizaFoxy na Ashadii basi huyo hafai kuitwa great thinker.Asha Dii can never be Faizafoxy and viceversa. Yes I said it!
labda pia anapumzika tu, kukodolea screen daily kunachosha.Akikosekana mtu hapa ujue ana michongo ya fweza, siyo lazima humu uwepo kila siku au kila mara.
labda pia anapumzika tu, kukodolea screen daily kunachosha.