Wapi AshaDii?

Status
Not open for further replies.
Nimeusikiliza... huu haujaka kimipasho mipasho... Sijui sababu it is a guy or not
it is a nice song.... Thank you...

Aliekwambia taarab ni nyimbo za mipasho kakupotosha. Taarab ni nyimbo na staha zake na ukienda concerts za taarab za ukweli utakuta couples wa miaka 70 wametia ngosha wanaenda kutunza.

Nafikiri wewe unazungumzia TAARABU. Mark the U at the end of the word
 
Gaijin asante saana

sasa nausubiri huo wa juma balo au maulidi hivi
unaitwa pendo hili,pendo hili,taamu ajabu....
Nipe links
 
Aliekwambia taarab ni nyimbo za mipasho kakupotosha. Taarab ni nyimbo na staha zake na ukienda concerts za taarab za ukweli utakuta couples wa miaka 70 wametia ngosha wanaenda kutunza.

Nafikiri wewe unazungumzia TAARABU. Mark the U at the end of the word

Hapo sasa nimekupata Gaijin... genuinely nilijua ni nyimbo karibu zoote za mipasho
hivyo i don't even bother - but with this knowledge at hand nitafanyia kazi na kuhakikisha
nizijue.... ila i have to admit kuna wimbo mmoja aunty yangu alikua anapenda na
nikau kubali... it goes like

Macho yanacheka.... Moyo unalia... (It is the only taarab I know and Love)
na nikiusikia mpaka nimkumbuke huyo aunty..
 
Huyo ni Shakila

Last edited by a moderator:
nafasi ya moyo wangu, yako wewe peke yako
takufungia na pingu, sitompisha mwenzako
na upoe humu mwangu, niwe wako mali yako ......one of my fav.

Last edited by a moderator:
Gaijin

iinaiimbwa hivi....

Ooohh rraaabi...........

Ushaijua?

Ulie tu!! yako haipo... The Boss sikiliza huo wimbo hapo juu ni mzuri kweli
I think leo nitashindia huu... muimbaji katulia mno, vyombo na maneno...
 
Gaijin

iinaiimbwa hivi....

Ooohh rraaabi...........

Ushaijua?

hahaha boss umenichekesha kweli .....ngoja nikumbukie nikutundikie hapa :)

Za Mwanahela hazipo kwenye internet ......sijui ndo ile "nimezama" ?
 
Ulie tu!! yako haipo... The Boss sikiliza huo wimbo hapo juu ni mzuri kweli
I think leo nitashindia huu... muimbaji katulia mno, vyombo na maneno...

Shakila ana mwengine unaitwa "kifo cha mahaba" ......huo mkali

Last edited by a moderator:
Naona nimebadilisha mawazo juu ya taraab... inabidi tu nikomae kufahamu
ni ipi taarab na ipi taarabu....

Kifo cha mahaba, kina idhilali
hakina haiba, wala afadhali
bali tajikaba, nifilie mbali

kufa kwa mahaba, ni adhabu kali
leo ni msiba, usio mithali
kesho ni adhaba, mbele ya jalali

Ewe mahabuba, niepushe hili
Ni wewe tabiba, hakuna wa pili
Hapanda jadhiba, tajiua kweli
 
Kifo cha mahaba, kina idhilali
hakina haiba, wala afadhali
bali tajikaba, nifilie mbali

kufa kwa mahaba, ni adhabu kali
leo ni msiba, usio mithali
kesho ni adhaba, mbele ya jalali

Ewe mahabuba, niepushe hili
Ni wewe tabiba, hakuna wa pili
Hapanda jadhiba, tajiua kweli

Gaijin asante dear... Stay Blessed... Dah!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom