sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Habari wanajamvi.
Jana huku kwetu Arusha maeneo ya stand ndogo ya magari nikakumbana na mwanadada anakula ile mizizi ya kuongeza nguvu ya kugegedana.
Nilidhani ni kwa wanaume tu kumbe hadi kwa wanawake. Inaonekana hakutaka kwenda nayo nyumbani bali ale njiani ili akirudi nyumbani awe na mzuka wa kutosha.
Ama alikuwa anaenda kuchepuka. Wanaume tuchukue tahadhari, baby zetu wanatulia mizizi,ukiona unapigishwa sana, ujue kapiga mizizi mahali.
Dada zetu hebu tuambieni hiyo mizizi mnayokula mnataka kushindana na sisi wanaume ama mnataka kutukomoa.