Wapenzi wetu wa kike nao wanakula mizizi kuongeza nguvu?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Habari wanajamvi.

Jana huku kwetu Arusha maeneo ya stand ndogo ya magari nikakumbana na mwanadada anakula ile mizizi ya kuongeza nguvu ya kugegedana.

Nilidhani ni kwa wanaume tu kumbe hadi kwa wanawake. Inaonekana hakutaka kwenda nayo nyumbani bali ale njiani ili akirudi nyumbani awe na mzuka wa kutosha.

Ama alikuwa anaenda kuchepuka. Wanaume tuchukue tahadhari, baby zetu wanatulia mizizi,ukiona unapigishwa sana, ujue kapiga mizizi mahali.

Dada zetu hebu tuambieni hiyo mizizi mnayokula mnataka kushindana na sisi wanaume ama mnataka kutukomoa.
 
Performance ya yale mambo specifically hayaamuliwi na nguvu za kike bali ni nguvu za kiume.. ndo maana ni nadra kuckia dawa ya kuongeza nguvu za kike; coz m'mme ndie mshughulikaji mainly huyo ke anakula ili kujifrahisha tu.
 
Ugumu wa muhogo ndiyo engine ya game zima
Sasa hata akitafuna mizizi halafu akakutana na sausage ya kuchemsha itamsaidia nn?
 
Wache tu wale, huwezi jua anamlia nani, kuna me bila ya kutumia dawa yoyote wanapiga shine balaa (kwa jina la kitaalamu wanaitwa 'wapiga ligi'Ke ata awe jambazi shoka tatu tu kwisha habari yake!

Sometimes unakutana na ke anajifanya anataka kukuridhisha athari zake ni kuumwa na tumbo chini ya kitovu. Ligi zote lazima ziwe na mrejesho huo, So waache waengeze mizuka at least wale me wa shoka tano nao wainjoy! And if possible fanya niipate hiyo mizizi ya kike nikampe shemu wako.

miss chagga asirudi hapa.
 
Mie pia nausubiri Shosti Kwa hamu kubwa sanaaa, shuti mate yanitoka kama niloona embe mbichi.

Shost we wengine tuko dunia ya nne atii, kumbe kuna maujuzi watu wanajiongeza ha haaa haaaa haaa!!! dunia ina mambo hii khaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom