Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Hii ni concert kama sikosei..!

Ni mwimbo mzuri sana mdau..

post using my macbook air using jamiiforums app
Naam. Waliipatia sana kwenye live concert ya Sydney na London kuliko acoustic version yake. Itafute MP4 yake youtube, hatakama ni ile ya lyrics hautajuta. Acoustic haina ladha kabisa.
 
Amen!!!!!
Forgot to mention Don Moen ft Frank Edwards (Grace Album). They sung in Igbo and English
My favourite so far is Eze Ndi Eze.
Enjoy
Am gratefully

Thanks much...

post using my macbook air using jamiiforums app
 
In control - hillsong united
Elohim - hillsong united
Open heaven - hillsong united
Only you Jesus - Ada
My beautifier - Chris shalom
Barikiwa sana mkuu nyimbo zimejazwa uwepo wa roho mtakatifu

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Naam. Waliipatia sana kwenye live concert ya Sydney na London kuliko acoustic version yake. Itafute MP4 yake youtube, hatakama ni ile ya lyrics hautajuta. Acoustic haina ladha kabisa.
Itabidi niitafute hiyo concert aliyofanyia london ikiwa ni mp3 hii naona kbps yake ni row quality..

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom