Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Sana mkuu mcheki na jamaa mmoja anaitwa Deitrick Haddon..He's Able bonge ya gosple song..one of my favorite

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nyimbo flani hivi yataratibu sana, kiasi ambacho kama unajazba inashuka kabisa, uwepo wa mungu unatawala nasfini mwako..

Nimebalikiwa..sana

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom