Wapenzi wa dini tofauti

Ma'alim Jumar na Mgen, mada yenu kweli nzuri, lakini ninawaomba muende Mto wa Mbu, hapa tupeni nafasi tuchangie mada ya ndoa kama ilivyoletwa.
Me binafsi naogopa kwa yaliotokea...ila humu humu ndio mahala pake. Tena hata ww mammammia umepata faida.
Ndio kazi ya JF inakupa ile kitu unaipenda.
Ndio mada inaendelea ...
 
Vijana wa kikristu wanapobadili dini kwa minajili ya kuoa ama kuolewa, wengi wao hubadili tu majina na kutamka maneno wasiyojua maana yake. Imani haibadilishwi siku moja na anayekulazimisha kubadili dini hakupendi. kwangu mimi sioni noma kama mkristu anaoa binti wa kiislamu na kumwacha aendelee na imani yake. Hili katika ukristu linawezekana kabisa na ndoa inabarikiwa kanisani lakini mama anaendelea kuwa mwislamu. Tatizo liko upande wa pili ambapo ni shurti ubadili 'jina'.
Haya mambo ni vzuri kuyaangalia kwa imakini.
Si mtu akiwaza jambo lake anaongea tu!
Na hili ndio linatupeleka hovyo hovyo.
Kila kitu kina utaratibi wake.
Wachaga ukitaka kuoa binti wao wanazo taratibu zao...sasa wewe kaoe vile unataka uone vurugu zitazotokea...lakin ukizifuata kila kitu kitakua shwari kwa utaratibi wao.
Hivyo huwezi amua umuoe binti wakiislam nawe mkiristo ama mpagani utegemee mteremko...labda huyo binti na wazazi wake hawaijui dini yao...hapo ndipo uite umeoa waislam kwa ajili ya majina yao na si kwa imani yao.
Hivyo tafautisha majina na imani.
Kuitwa jumar si uislam uislam ni vitendo...waweza muita mwanao daud ni sawa na kumwita david...marry ni sawa furaha.
Hiyo ni mifano kdg lakin maudhui imekufikieni.
 
Dini si kikwazo cha msingi ni kuketi na kupata suluhu. Kumbuka mama ndo mfuasi wa baba na kitendo cha baba kumfuata mama ni kuonesha udhaifu wa familia,Vilevile ni muhimu kusikiliza matakwa ya wazazi na marafiki zako na kubaki kuchakachua we mwenyewe kwani we ndo mwenye final say
 
ukikubadili dini kwasababu ya uchi mie nitakuona we ni mbwiga,tafuta wa dini yako na huyo muislamu nipe mawasiliano yake ili nimuoe mm
 
ukikubadili dini kwasababu ya uchi mie nitakuona we ni mbwiga,tafuta wa dini yako na huyo muislamu nipe mawasiliano yake ili nimuoe mm

kaka hatujafikia huko pa kupeana wapenzi daah! Ushauri mwingine bana! Ila nashukuru kwa ushauri.ebu tafuta mwingine make huyu wakwangu siwezi eehe bana eeehe! Naona noma kaka sio uongo. Siwezi ata jaribu.
 
ukikubadili dini kwasababu ya uchi mie nitakuona we ni mbwiga,tafuta wa dini yako na huyo muislamu nipe mawasiliano yake ili nimuoe mm

Duh! Kaka na we kupenda vya bure.No sweat without sweating,kumbuka mwanamme ni kuwa mstari wa mbele vitani na si mtanisimulia.kaka vp kasms kako bomba!
 
kaka hatujafikia huko pa kupeana wapenzi daah! Ushauri mwingine bana! Ila nashukuru kwa ushauri.ebu tafuta mwingine make huyu wakwangu siwezi eehe bana eeehe! Naona noma kaka sio uongo. Siwezi ata jaribu.
Kama umekolea haya bana,chekecha pumba mchele pika ule,kila la kheri ktk ndoa yenu ila usisahau mualiko maana mie ni mzee wa minuso
 
Back
Top Bottom