Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

allah hawezi shindana na Yahweh. Allah hata mi haniwezi kwani ni lile jiwe wanalolichungulia pale Macca. Kuna siku nitaenda kuliiba au kulinyea pale Macca na Madina.
Wacha weeh kabla ya Madina nenda Kanye mskiti mmoja wapo mtaani kwenu kama zoezi la kwenda Madina kumalizia
 
Umesema mpalestina kaanza uchokozi Kwa kurusha makombora na kuua,kabla ya vita itv hurusha habari ya waisrael wavamia mashamba wa wapalestina na kujenga makazi ya walowezi ktk ardhi yao ulikuwa unafuatilia? West bank Kila Leo wapalestina wanatolewa uliwahi paza sauti kwanini kunafanyika uonevu huo au halikuhusu mpaka anayeonewa akichoka na kuanza kurusha makombora Kwa kuamini atapunguza dhulma anayofanyiwa wewe uanze kuziba nta na kusema gaidi huyu,mpaka kufikia 2000 Dunia inajua Jerusalem ni sehemu ya Palestina kwetu watoto wa kidigitali kumbukumbu zetu lakini Leo inasomeka ipo nchi Gani kati ya hizo mbili,je unajua kwanini mpaka Leo Palestina inashindwa kutambulika kama taifa na mataifa yenye nguvu yapo kuamua hilo lkn inashindika?, miaka ya karibuni trump alikwenda Israel na kusema kuanzia Leo mji mkuu wa Israel ni Jerusalem na si tel aviv na nahamisha ubalozi kuanzia Leo je Dunia ilipiga kelele
Jua tu hakuna dhulma inayodumu na mwisho wa uonevu huo upo mwisho Israel atamwaga Damu ya wapalestina lkn hatoweza kumaliza wote na akafanikiwa basi ajue tu wapo wapalestina wa Chisichili,bahi,nk watakaba nafasi mapambano yataendelea tu,wakati mwingine kabla ya kuandika fuatilia bila kutanguliza mahaba na kichwa kifanye kazi hiyo kisitumike kama kabati la kuhifadhia meno.
Sorry mkuu hivi King David àlikuwa Myahudi halafu kinanishangaza kwanini Quran inawataja Wayahudi na Sio Wapalestina waliokuwa wakiishi zama hizo za mitume
 
Algeria walikufa zaidi ya watu Milioni 1 wakati wanapigania Uhuru wao, Leo wapo huru, Kuna Nchi kibao mamilioni ya watu wamekufa na Uhuru umepatikana.

Njia zote unazotaka wafanye zishafanyika, hawajaanza Leo Wala Jana.

Na Israel sio invincible, vita ya yom kipur Misri walimkanda vizuri tu, kama sio USA kuingilia walitaka wapige Nuclear. Hezbollah so far hajashindwa vita yoyote na Israel, hao Hamas wenyewe wanawaua IDF kama kuku, hawana lolote.

Anachojua Israel ni kuua Raia wasio na Hatia na ni njia ambayo imetumika maelfu ya miaka na Empire OVU, huku akikingiwa kifua na west.

Sema soon Wapalestina watapata Taifa lao, Empire ya west inakosa ushawishi Kila siku zinavyosonga mbele.

Unachoongea hapa ni matamanio yako sio uhalisia. Hamas wanawaua Israel kama Kuku? mbona wanaolia ni Palestine na sio Israel? Hilo la kuua Raia ni Hamas ndo wameyataka kwasababu wanaishi miongoni mwa raia. Ni kama Al shabaab nchini Somalia, Taliban nchini Afghanistan, Al queda etc…Ni tactic inayotumika na vikundi vya kigaidi vyote ulimwenguni. Kwa tactic hii lazima tu utawaponza raia wema.

Usitegemee kwamba ipo siku Israel ita-surrender. Israelites were born to fight.
 
Except they don't, tatizo lenu mnalishwa na media na mnakula Hicho Hicho mnacholishwa bila kutumia akili zenu. Wapalestina raia wanauliwa kote kwenye na kusiko na Hamas,

1. Wakati vita inaanza Idf walisema Raia waende kusini mwa Gaza,
-walipigwa mabomu na Idf njiani wakati wanaenda
-wakapigwa mabomu huko huko kusini mwa Gaza eneo ambalo hakuna wapiganaji

2. Western Bank eneo ambalo Hakuna Hamas nao wanauliwa.

Mtu yoyote ukisikia anakuambia Raia wanauliwa sababu ya Hamas ujue ni mtupu kwenye huu mgogoro Hana anachofuatilia.

Na suala la Hamas kuwaua Idf kwani ni siri? Hebu niambie mafanikio ya IDF so far ni yapi Gaza, objective Gani wamefanikiwa? Hakuna, hawajaokoa hata kifaranga, sana sana wameua mateka wao kadhaa, Gaza nzima imejaa mascraper ya vifaru vya Israel vilivyolipuliwa, so far wamekufa viongozi wengi wa kijeshi Wa Israel Gaza, sembuse hao wadogo wadogo
 
Objective ya HAMAS mpaka sasa ni ipi iliyofanikiwa tangu waanzishe hizo vurugu? Unaongea kwa uchungu na kebehi sana sidhani kama itakusaidia Baba Mwajuma. Allah mwenyewe kakaa pembeni kwa namna Israel wanavyowatembezea moto Palestine.

Hatukatai IDF soldiers wanakufa yes. Hii ni vita sio movie. Blood has to be shed but they won’t kneel until victory is embraced. Hujui kanuni za vita wewe.
 
Kwa hiyo YAHWE anamchakaza ALLAH vibaya vibaya!
anamchakaza wakati hata kwa population ya israel yahwe kazidiwa mbali sana wingi wa waumin....so hata wapalestina wakiisha itabid awaue na waisrael ili wengi ili walau azibe gap
 
Objective ya HAMAS mpaka sasa ni ipi iliyofanikiwa tangu waanzishe hizo vurugu? Unaongea kwa uchungu na kebehi sana
emoji28.png
sidhani kama itakusaidia Baba Mwajuma. Allah mwenyewe kakaa pembeni kwa namna Israel wanavyowatembezea moto Palestine.

Hatukatai IDF soldiers wanakufa yes. Hii ni vita sio movie. Blood has to be shed but they won’t kneel until victory is embraced. Hujui kanuni za vita wewe.
Objective ya wazi ya Hamas ni kubadilishana mateka, Je IDF haijaachia mateka? Imeachia baadhi, japo haijafanikiwa 100% ila tumeona wapalestina wakiachiwa toka jela za Israel.

Objective nyengine ambazo "great thinker" wameziona

1. Kuweka "Palestinian self determination" kwenye global agenda, Nchi kama USA poll mbalimbali zaidi ya asilimia 60 wanaisuport Palestina, Vijana wengi wadogo wadogo wa ki jew hawataki kuwa associated na Israel vyote hivi vinatokana na Hamas, wangekaa tu ndani na kuugulia Kimya Kimya Leo Blinken angekua Hamshawishi Netanyahu kuundwa Taifa la Palestina.

2. Kuongeza Support ya Wapalestina kwa Hamas,

Huyu Mstaafu wa Serikali ya USA ambaye amewahi kuwa Deputy secretary ameelezea vizuri hii vita kama lengo ni kuelewa angalia hii video.

View: https://twitter.com/RnaudBertrand/status/1743865744218358216
 
Back
Top Bottom