Wapalestina waanza mgomo Wakimuenzi Kamanda Saleh Al Arouri, Ofisi, Maduka Vyuo nk vyafungwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Wapalestina wamesema msiba wa Kamanda Saleh Al Arouri ni mkubwa sana hivyo hawatafanya Shughuli zozote za Kiuchumi kwa sasa

Wamesema kufunga Shughuli za Kiuchumi kutaikosesha Serikali Mapato na hiyo ndio njia pekee ya kumuenzi Kamanda Saleh.
---
Dozens of protesters in Morocco mourned the death of Saleh Al-Arouri on Tuesday who was assassinated in an Israeli drone strike in Beirut as a pro-Palestine demonstration took place.

A crowd of protesters in the capital Rabat learned of Al-Arouri’s assassination just moments before the start of their daily pro-Palestine gathering, a practice they have maintained since the beginning of the Gaza war on 7 October.

The mood turned even more somber with Mohammed Hamdawi, a leading figure of the Justice and Charity Islamist group, facing parliament as he read condolences for the assassinated Hamas deputy deeming him a "martyr of the Palestinian cause".

"His martyrdom will provide a new and a strong start to the Palestinian resistance against the Zionist occupation," the Islamist leader told the crowd.

Arouri was a key political figure in Hamas and living in Beirut's Dahiyeh neighbourhood when he was assassinated in an Israeli airstrike on Tuesday.

After Hamdawi's speech, protesters chanted for Palestinian victory in Gaza and called on the government to cut ties with Israel. Morocco and Israel normalised ties late in 2020.

Rabat has yet to officially comment on Al-Arouri’s assassination.

Since 7 October, Rabat has witnessed hundreds of pro-Palestine protests, with a growing number of members of the public joining the rallies that were traditionally led by activists and political parties.

According to Arabometer, less than one-in-three Moroccans back normalisation with Israel, with the figure even lower elsewhere in the MENA region.

A new survey by a Fes-based group affiliated with the opposition party of Justice and Development suggests that around 90 percent of Moroccan responders stand with Palestinians against Israel and actively support BDS boycott campaigns.

In 2023, Morocco became the fifth country in the world for the most pro-Palestine protests, according to Armed Conflict Location and Event Data Project, a US-based NGO.

Thousands of Moroccans are set to take to the streets on Wednesday to protest the latest Israeli airstrike on Beirut and the ongoing genocide in Gaza.

Source Al jazeera news
 
Kila siku nasema hapa hawa watu Wana kaswende ya ubongo hamnielewi.

Israel imeshaeleza bayana, yeyote aliyehusika na mashambulizi ya October 7 yupo kwenye target Yao, ni walking dead.

Yule namba moja wa Hamas ajiangalie Sana hapo Doha Qatar anapokula bata.
 
Tatizo lako unafikiri wazayuni wanakutambua wewe golo halafu mkristo?

Mkristo kwa mazayuni ni najisi tu.
 
Kila siku nasema hapa hawa watu Wana kaswende ya ubongo hamnielewi.

Israel imeshaeleza bayana, yeyote aliyehusika na mashambulizi ya October 7 yupo kwenye target Yao, ni walking dead.

Yule namba moja wa Hamas ajiangalie Sana hapo Doha Qatar anapokula bata.
Uzuri nikwamba hamas wote wakianza kujitambua tu kama washakua hamas wanajijua kua kifo kwao kipo karibu zaidi kuliko kuwa hai

Israhell apambane na ghaza huko anakotaka kutupiga kanya boya kaishatukosa tayari
 
Mheshimiwa unapanic sana!
uko sahihi, huyu jamaa ni mkongwe hapa jukwaani. Nilianza kumsoma hata kabla sijawa mwanachama. Kipindi cha magu akapotea kidogo. Sasa tunaye mkongwe huyu na tunatamani tuone busara kama zako mkongwe johnthebaptist lakini jamaa anakuwa apanic sana. Anatumia nguvu nyingi na maneno ambayo kwa mtu kama yeye hapaswi kuyatumia. Anapomwita mtu "mr uharo"! hata kama hatujuani lakini inampunguzia kitu.
 
Wapalestina wamesema msiba wa Kamanda Saleh Al Arouri ni mkubwa sana hivyo hawatafanya Shughuli zozote za Kiuchumi kwa sasa

Wamesema kufunga Shughuli za Kiuchumi kutaikosesha Serikali Mapato na hiyo ndio njia pekee ya kumuenzi Kamanda Saleh.
---
Dozens of protesters in Morocco mourned the death of Saleh Al-Arouri on Tuesday who was assassinated in an Israeli drone strike in Beirut as a pro-Palestine demonstration took place.

A crowd of protesters in the capital Rabat learned of Al-Arouri’s assassination just moments before the start of their daily pro-Palestine gathering, a practice they have maintained since the beginning of the Gaza war on 7 October.

The mood turned even more somber with Mohammed Hamdawi, a leading figure of the Justice and Charity Islamist group, facing parliament as he read condolences for the assassinated Hamas deputy deeming him a "martyr of the Palestinian cause".

"His martyrdom will provide a new and a strong start to the Palestinian resistance against the Zionist occupation," the Islamist leader told the crowd.

Arouri was a key political figure in Hamas and living in Beirut's Dahiyeh neighbourhood when he was assassinated in an Israeli airstrike on Tuesday.

After Hamdawi's speech, protesters chanted for Palestinian victory in Gaza and called on the government to cut ties with Israel. Morocco and Israel normalised ties late in 2020.

Rabat has yet to officially comment on Al-Arouri’s assassination.

Since 7 October, Rabat has witnessed hundreds of pro-Palestine protests, with a growing number of members of the public joining the rallies that were traditionally led by activists and political parties.

According to Arabometer, less than one-in-three Moroccans back normalisation with Israel, with the figure even lower elsewhere in the MENA region.

A new survey by a Fes-based group affiliated with the opposition party of Justice and Development suggests that around 90 percent of Moroccan responders stand with Palestinians against Israel and actively support BDS boycott campaigns.

In 2023, Morocco became the fifth country in the world for the most pro-Palestine protests, according to Armed Conflict Location and Event Data Project, a US-based NGO.

Thousands of Moroccans are set to take to the streets on Wednesday to protest the latest Israeli airstrike on Beirut and the ongoing genocide in Gaza.

Source Al jazeera news
Wanayemkomoa ni nani kwenye huo mgomo wao?
 
uko sahihi, huyu jamaa ni mkongwe hapa jukwaani. Nilianza kumsoma hata kabla sijawa mwanachama. Kipindi cha magu akapotea kidogo. Sasa tunaye mkongwe huyu na tunatamani tuone busara kama zako mkongwe johnthebaptist lakini jamaa anakuwa apanic sana. Anatumia nguvu nyingi na maneno ambayo kwa mtu kama yeye hapaswi kuyatumia. Anapomwita mtu "mr uharo"! hata kama hatujuani lakini inampunguzia kitu.
Ogopa kitu dini mkuu.

Huyu mtu kuua au kuvaa bomu ni kawaida, DINI ikzidi ni ugonjwa hana tofauti na mgonjwa
 
Back
Top Bottom