Wapagani wa Arusha Hawamtambui Meya

Bwasheee, aliyemwaga damu za watu ni Mbowe aliyelazimisha kutembea! Hivi si aliwahi kugombea uraisi huyu? haki ya nani angetuuwa!

Eti anajifanya mbabe, kaswekwa selo anahangaika kuomba watu waje wamtoe lupango! Wenzake wamepoteza roho yeye kukaa selo usiku mmoja tu kashindwa, mwambieni aache kudanganya watu!

Maaskofu kama wamekataa ushauri wa Mary (kuvua majoho) basi wamuombee kondoo huyu maana yaonyesha pepo la kuvuruga amani limemuingia!

hata mlevi wa chang'aa pale kibera slums hawezi kuja na upupu wa namna hii
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mgumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa

I like this.

Hawa wanasiasa wanadhani nchi hii ni ya wakristo na waislam tu. Wanasahau kuwa wakati hizo dini mbili zinaletwa hapa nchini tayari kulikuwa na dini zetu za asili zilizokuwepo kwa maelfu ya miaka kabla. Na mpaka sasa tuna waumini wengi tu wa dini hizi za jadi ambazo hazina utaratibu wa kunyang'anyana waumini kama hizi dini za kigeni. Na kwa bahati nzuri wengi wa hao wanaojiita ni waumini wa kikristo na kiislamu pia ni waumini wa hizi dini zetu za kipagani.
 
Bado wahindu nao watakuja na tamko lao maana nao wapo wa kutosha hapa Arusha. Pia tusubiri viongozi wa dini za jadi nao watatoka na tamko lao

Na wasioamini katika dini yoyote wala katika miungu.
 
Bwasheee, aliyemwaga damu za watu ni Mbowe aliyelazimisha kutembea! Hivi si aliwahi kugombea uraisi huyu? haki ya nani angetuuwa!

Eti anajifanya mbabe, kaswekwa selo anahangaika kuomba watu waje wamtoe lupango! Wenzake wamepoteza roho yeye kukaa selo usiku mmoja tu kashindwa, mwambieni aache kudanganya watu!

Maaskofu kama wamekataa ushauri wa Mary (kuvua majoho) basi wamuombee kondoo huyu maana yaonyesha pepo la kuvuruga amani limemuingia!

Siwezi kukulaumu wewe ! Tatizo ni makuzi yako
 
Taarifa za kiintelejinsia zinaonyesha hata wahindu hawamkubali Mstahiki Meya wa Arusha.

hahahaaa! Mkuu umenifurahisha. I like it. Ila taarifa za kiintelijensia zinaonesha pia kuwa hata ndugu zangu wavaa kanzu walihongwa ili kutoa tamko. Hivyo wanamkubali usoni lakini moyoni hawamtaki. Ukimuuliza IGP anaweza kudhibisha kwa kutumia mbinu za kiintelijensia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom