Wapagani wa Arusha Hawamtambui Meya

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mgumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa
 
Huyu Meya wa CCM hata kuzimuni hatakiwi, amemwaga damu za watu ndiyo raha yake.
 
hahahahahaaa!
BAKWATA haiibgilii siasa.....lakini wanamuunga mkono Meya.
Kanisa linaingilia siasa.......halimtambui Meya
 
Nafikiri huyu meya ni dicteta, kwani katika akili ya kawaida huwezi kuendelea kung'ang'ania madaraka huku watu hawakutaki hadi madiwani wenzake wanajiuzulu kwa hiyo issue yeye anakomaa. Hafai kabisa.
 
Bado wahindu nao watakuja na tamko lao maana nao wapo wa kutosha hapa Arusha. Pia tusubiri viongozi wa dini za jadi nao watatoka na tamko lao
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa

Watamtambuaje wkt yule mjumbe ambae ni mbunge wa TA anavamia tu vikao kwa vile ni katibu wa CCM AR au ni hawala wa makamba?
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa

Mchungaji nimekugongea thanks, umeiona? Nimekukubali!
 
hahahahahaaa!
BAKWATA haiibgilii siasa.....lakini wanamuunga mkono Meya.
Kanisa linaingilia siasa.......halimtambui Meya

hapo sasa.

chukua zako, za mbayuwayu. changanya pamoja.

then utajua juha ni nani Kanisa au Bakwata
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa
Du! Masa umenivunja mbavu.
 
Nadhani hata sisimizi hawamtaki huyo mbabaishaji!!!!! Tatizo hawajui kuongea wangemkataa tu !!!
 
Taarifa za kiintelejinsia zinaonyesha hata wahindu hawamkubali Mstahiki Meya wa Arusha.
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.

Source: Rev Masa

Rev, umenifurahisha sana ndg yangu. Ni kweli kabisa haiwezekani mchakachuaji ajitwalie umeya kihuni. Na watu wa dini zote na makabila yote (ukiacha walafi wachache) wanapinga uhuni uliotokea Arusha.
 
Nadhani hata sisimizi hawamtaki huyo mbabaishaji!!!!! Tatizo hawajui kuongea wangemkataa tu !!!

Nani amekwambia hawajui kuongea. Wanazaliana vipi kama hawakubaliani kujamiana? Bila shaka kilichoanza kumkataa ni ardhi ya Tanzania. Amelaaniwa na ardhi inamlilia. Ardhi ikiishamkataa, asipoachia ngazi haraka ardhi itammeza hivi punde.
 
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mgumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.
Source: Rev Masa
Hee! wapi Chatanda? ili atusaidie kuwaambia hawa nao wavue ..... (sasa sijui nini maana wengine aliwaambia majoho) ili waingie kwenye majukwaa ya siasa.
Rev, subiri utasikia tamko la umoja wa wanywa mbege kanda ya kaskazini kuwa nao hawamtambui Meya wa kuchonga. Ila waangalie nao wasije ambiwa ni wana Udini.
 
Huyu Meya wa CCM hata kuzimuni hatakiwi, amemwaga damu za watu ndiyo raha yake.

Bwasheee, aliyemwaga damu za watu ni Mbowe aliyelazimisha kutembea! Hivi si aliwahi kugombea uraisi huyu? haki ya nani angetuuwa!

Eti anajifanya mbabe, kaswekwa selo anahangaika kuomba watu waje wamtoe lupango! Wenzake wamepoteza roho yeye kukaa selo usiku mmoja tu kashindwa, mwambieni aache kudanganya watu!

Maaskofu kama wamekataa ushauri wa Mary (kuvua majoho) basi wamuombee kondoo huyu maana yaonyesha pepo la kuvuruga amani limemuingia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom