Wao wanasema watatangaza tena lkn?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau nilienda vodashop kuwaomba waactivate laini yangu kwa huduma ya Who called(nani alipiga nilipofunga simu) ambapo ukiwasha simu unakuta msg ya kukujulisha nani alikupigia
wao walisema watatangaza tena jinsi ya kujiunga na huduma hii lakin kimya naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga nifanyaje! Nawasilisha.
 
Hamia Airtel.....

hapana hata kama hiyo huduma kwenu airtel ipo siwez kuwakimbia voda kwani hata kwetu hiyo huduma ilikuwepo ila imesahaulika kidogo tu vp niulizie basi kwa majirani zako wanaotumia voda!
 
Back
Top Bottom