Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Kimsingi mi pia sitoki huko Mbeya lakini nakubaliana na wewe, kukiwa na tatizo jamani ni bora kulijadiri kuliko kuliogopa, hofu yako hailifanyi tatizo kutoka lenyewe, litabakia pale tu, jamani hivi aliye anzisha hili tatizo la ukabila hivi ni nani? si hawa magamba na mwenyekiti wao? mtoa maada ametoa ushahidi (though ni mwembamba, because Kolimba, Amina Chifupa, Imrani Kombe, Stanslaus Katabalo n. k hawakuwa Wanyakyusa) tumpinge kwa data, magamba kupitia nape nnauye si waliwahi kuwaambia baadhi ya watu humu nchini kwamba CDM ni ya wachaga? thank God kwa vile CDM hawakwenda Moshi na kuwaambia wachaga wa kule ambao ni mashabiki wa magamba waondoke magamba eti kwa vile magamba wamewaema vibaya Wachaga as CUF did last Sunday, tukumbuke pia mara baada ya Kikwet kuingia madarakani kulikuwa na mgawanyiko mkubwa sana Mbeya, mgawanyiko ambao ulionesha kabisa Kikwete alikuwa na mkono wake pale.
Magamba pia wameisha pandikiza sumu ya udini ambyo kimsingi sasa hivi inatusumbua sana, hata humu ndani ya jamvi, so kulikalia kimya suala hili au kuliogopa ni sawa na kumpa mgonjwa wa Malaria Panadol, atakufa tu, dawa tulijadiri tatizo hili na kuliondoa kabisa na sio kulikalia kimya while tatizo lipo.