Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Status
Not open for further replies.
Sasa nyie watu wa Mbeya mnabopoa raisi mawe halafu mnategemea nini? Pay back time sasa! Kwanza tulisahau, na umeme tutawakatia tena, miewzi miwili. Na uwanja wa ndege ule hatuumalizi ng'o!

Hapo umenena, ila wale watu wako radhi kutaabika kuliko kumlamba mtu masaburi na kusema ndio bwana. Naamini ktk kundi la wazee wa Daresalama, Wanyaki hawapo.
 
Naye Mwakitakotako Mwakipumbuje ameng'atwa na Mbwa maeneo ya Msoga. Kweli Wanyakyusa wana nuksi
 
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!

Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.
Tokea mwezi uliopita nimebadili kabila, mie sasa Mpare.
Avaae tha tha!
 
Wakuu nimekutana na ujumbe huu ambao kwa takribani wiki nzima sasa unazunguka kwenye simu.
Hivi kazi ya TCRA ni nini? Huu si uchochezi wa wazi wazi wa kikabila?

Ujumbe huu hapa chini...
Hivi serikali ina shida gani na wanyakyusa?
1. Prof Jwani Mwaikusa alipigwa risasi nyumbani kwake.

2. Mwakyembe alipewa sumu,

3. Mwandosya alipewa sumu

4. Ulimboka kupigwa nusu kuuwawa

5. Daudi Mwangosi wa channel ten kauwawa.

Hivi kuna Mnyakyusa gani aipe CCM kura? Ana mapenzi mema kweli?

Watumie wanyakyusa 10 ujumbe huu.

Na yule dada aliyekuwa secretary wa Mwakyembe umemsahau, alikuliwa baada ya insue ya Mwakyembe kugundulika kawekewa sumu kwa njia ya sabuni na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela
 
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!

Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.

Plus yule dada secretary wa Mwakyembe aliuliwa kimyakimya na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela baada ya insue ya Mwakyembe kuwekewa sumu kusanuka
 
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!

Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.

Mkuu hoja za namna hii hazina mashiko. Ukabila na udini ni sumu
 
Na yule dada aliyekuwa secretary wa Mwakyembe umemsahau, alikuliwa baada ya insue ya Mwakyembe kugundulika kawekewa sumu kwa njia ya sabuni na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela
Badilisheni majina na kujihami kwa kusafiri mkiwa na silaha na mabodigadi vinginevyo hata mliomo humu jamvini CCM itawapelekamabwepande.
 
Mkuu hoja za namna hii hazina mashiko. Ukabila na udini ni sumu
Wakiuliwa wa kabila lako utaamka na huo utasema sio ukabila. Waache watu wapige kelele ndugu zao wanapouawa. Angalia suala la Mwangosi watuhumiwa ushahidi uko wazi kabisa, lakini wanampeleka mtuhumiwa mmoja mahakamani na wengine wanaendelea na kazi. Cha kusikitisha mtuhumiwa ana mtuhumiwa anapelekwa mahakamani kama mfalme!.
 
nitashangaa sana kuona wanyakyusa wanaoendelea kuiunga mkno CCM kwa mambo ambayo chama hiki kimekusudia kuwatenda viongozi wote wanyakyusa
 
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!

Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.

acha mwazo mgando ni kweli wanyakyusa ni wahanga wa ccm
 
Pale Bulyanhulu Kahama wachimbaji madini zaidi 15 ambao karibu wote walikuwa kabila la kisukuma walifukiwa wakiwa hai,hawa sio wanyakyusa

ANGALIZO:
linapokuja suala la kuuawa mtu tusiangalie kabila lake zaidi tuangalie ubinadamu wake na u Tanzania wake hii itatusadia kujenga umoja kama watanzania
 
Mmh...nilitaka kupita kimya kimya ila ngoja nine njowepo.
Sawa Wanyakyusa tumekua wahanga lakini lini tumeachwa kulia pekeetu kama sio sisi tunataka kufanya ni msiba wa wanyakyusa pekeetu.
Ngalambalale ne Masyabhala kana ndofani
 
Wanyakyusa si wahanga wa CCM. Matatizo yanayowapata vikiwemo vifo na magonjwa vyote hivyo huwafanya kuwa imara zaidi katika mapambano ya kila siku yanayomkabili mwanadamu.

Kauli za waziri Mwandosya na mdogo wake waziri Mwakyembe baada ya kupita katika tundu dogo la sindano, kwa mapenzi ya Mungu, zinaweza kuzihirisha ukweli huu. Daima humtegemea Mungu. Soma Zaburi ya 23.
 
Jamani wana jamii wenzangu nauliza hivi hawa Wanyakyusa wamefanya nini! ,Ulimboka,Mwangosi na Absalom Kibanda?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom