Wanyakyusa "enzi za Mwalimu" Kiswahili kiliwatesa mno!

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,323
6,810
Wakati akifanya ziara mkoani mbeya wilayani kyela kiongozi mmoja wa juu serikalini na kwenye chama "enzi za mwalimu" alipata taabu mno kuwasiliana kwa kiswahili nawakazi wa kyela mkoani mbeya.......
Alianza namna hii,..Chama cha Tanu Juuuu? akashangaa umati wote uliohudhuria tukio lile ukiwa kimyaa kabisa! aka shangaa akaangalia kushoto na kulia na kurudia TANU juuu..! lakini wapi, umati woote kulikuwa hakuna mtu hata mmoja aliekuwa anajua kiswahili hivyo walikuwa hawajui anamaanisha nini.
Alikuwa ni mzee maarufu mkoani mbeya enzi za Chama cha TANU Mzee Mwangoka aliekuwa amekaa jukwaani na mheshimiwa yule, akamwonyesha ishara mgeni rasmi kuwa tatizo ni lugha na yeye atawatafsiria japokuwa na yeye kiswahili kilikuwa kinamsumbua sana sana!

Mambo yakawa hivi;
Mwangoka; Kyama kya TANU pamwanyaaaa?(yaani chama cha TANU juu) watu woote wakaitikia pamwanyaaaaaaaaaaa!.......mmoja akaendelea... "ndaga mwanetu papo batile gwimbile isukulu na Nyerere ku Malangali!!" (yaani tunashukuru mtoto wetu kwani nasikia umesoma na Nyerere Malangali)......
..............
 
Acha porojo wewe hapa sio pake Mzee Mwangoka alikuwa anjua kiswahili kwa kwenda mbele,na huko Kyela mjini wazee wa enzi hizo walikuwa wanakijua kiswahili hasa au umemsahau kipofu wa mkoa alipomsomea shairi la kiswahili murua akimpasha Abood Jumbe kuwa aache ujinga wanakyela sio wa kuchezewa,wazee wa Kyela na Rungwe walienda shule so acheni porojo za kusema kiswahili kiliwapiga chenga RIP Mzee Mwangoka na wazee wote wa Kinyakyusa akiwemo na baba yangu mzee Mwalimu aka mwanasheria
 
Kyama kya tanu pamwanyaaaaa,ndugu mwenye kiti siku tukujenga nyumba za matofali ya kupika,pia tukunwa kyai kya masiwa
 
Ndugu Mfianchi, mimi nilikwenda Kyela mwaka 1998 kwa kufanya mahojiano kuhusiana na shughuli za kilimo. Kwa kweli nilipata shida sana. Tulikuwa mimi na Mwingereza mmoja na jamaa wa Kinyakyusa kutoka Kyela.

Usaili ulikwenda kutoka Kiingereza - kwenda Kiswahili - kwenda Kinyakyusa and vice versa.

Na hii sio Unyakyusani tu bali hata Usukumani tuliipata hivyo hivyo.

Hatusemi kwamba Wanyakyusa hawakusoma ila kufanyia mazoezi lugha ni kitu tofauti kabisa.
 
kiranja mkuu mambo vipi kaka,ebwana we wa kwetu umenikumbusha Lejiko mitaa yangu sana enzi hizo,anakupenda sana Mbeya sema maisha tu tunabanana hapa kwenye joto na foleni za kijinga
 
Hebu nipe kyapati na kyai ndani ya kikombe kya kyuma. Mama changudoa mnyakyusa anamshukuru mzungu baada ya mzungu kumpa ujira wa shs 700. Mama kasema hivi "Ndaga fijo na loli" Mzungu akaja juu akasema "Whaat? U want a peugeot and a lorry while I have given you seven hundred shillings?"
 
Mwakalinga aka Mtanzania, ya ukweli haya? Hihiiiiiiiii

Sasa kampeni sijui utapigaje kwa hao wazee? Labda umwage Kithungu "Kisipuni kili pa windo".
 
Acha porojo wewe hapa sio pake Mzee Mwangoka alikuwa anjua kiswahili kwa kwenda mbele,na huko Kyela mjini wazee wa enzi hizo walikuwa wanakijua kiswahili hasa au umemsahau kipofu wa mkoa alipomsomea shairi la kiswahili murua akimpasha Abood Jumbe kuwa aache ujinga wanakyela sio wa kuchezewa,wazee wa Kyela na Rungwe walienda shule so acheni porojo za kusema kiswahili kiliwapiga chenga RIP Mzee Mwangoka na wazee wote wa Kinyakyusa akiwemo na baba yangu mzee Mwalimu aka mwanasheria

Pamwanyaaaaa!!
Ila nimepewa mpya kuwa Mzee huyo neno hili lilimsumbua sana pia;... 'Chief executive' officer yeye alitamka "KITIFUTIFU OFWISA"!!
Yaani kama hivi , " kusyoto kwangu jupo KITIFUTIFU OFWISA kutoka mkoani!"
 
Ndugu Mfianchi, mimi nilikwenda Kyela mwaka 1998 kwa kufanya mahojiano kuhusiana na shughuli za kilimo. Kwa kweli nilipata shida sana. Tulikuwa mimi na Mwingereza mmoja na jamaa wa Kinyakyusa kutoka Kyela.

Usaili ulikwenda kutoka Kiingereza - kwenda Kiswahili - kwenda Kinyakyusa and vice versa.

Na hii sio Unyakyusani tu bali hata Usukumani tuliipata hivyo hivyo.

Hatusemi kwamba Wanyakyusa hawakusoma ila kufanyia mazoezi lugha ni kitu tofauti kabisa.
That was based on your poor planning. You acknowledge how deficient you are on issues related to research principles. Why didn't you do a pilot study first. I doubt if your data is of any value with your story full of bias. How far should we trust your data if you couldn't even know how to choose your inerpreter? Yaani hata mkalimani uliyemchagua alikuwa hajui hata kiingereza Kyela nzima hukumpata? Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. Au wewe ni mtani wao? JF sio mahali pa kutukanana hivyo kwa hiyo shika adabu yako. Wanyakyusa wakiamua kukushikisha adabu utahama JF, tena Kyela? We haya wee! Muulize mwenzio Qares kama ana hamu hata ya kukanyaga mbeya tena baada ya kuwatukana watu wa mbeya kwamba nyumba zao ni hovyo kiasi kwamba hata kuku akipiga teke nyumba zinaanguka. Au ulikuwa hujazaliwa bado?
 
Pamwanyaaaaa!!
Ila nimepewa mpya kuwa Mzee huyo neno hili lilimsumbua sana pia;... 'Chief executive' officer yeye alitamka "KITIFUTIFU OFWISA"!!
Yaani kama hivi , " kusyoto kwangu jupo KITIFUTIFU OFWISA kutoka mkoani!"
hahahaaaa!
tufwile nyambala!!
wanangu wa Ipinda mpooooo!!!
Hakuna beach tamu kama ya Matema bana!! acha kabisa
 
Back
Top Bottom